Wazee wa Simba kuanika majina ya Mawaziri waliohujumu Dabi ya Kariakoo

Wazee wa Simba kuanika majina ya Mawaziri waliohujumu Dabi ya Kariakoo

Nimewaelewa wazee kwa hoja nne
1.Sio sawa kwa GSM kudhamini vilabu vinne kwani wakiambiwa lolote sio rahisi kubisha,hapa kuna harufu ya rushwa.
2.Siasa na wanasiasa wameingilia mpira wa Tanzania, hasa kitendo cha mwanasiasa mmoja kununua Ihefu ambayo imemfunga yanga mara mbili mfululizo hapa kuna jambo chini ya kapeti.
3.Kauli za wasemaji na wanasiasa kabla ya mechi zinaleta tafakuri juu ya upangaji wa matokeo.
Yanga anazifunga timu zilizo dhaminiwa na GSM peke yake? Kaizer Chiefs pia wamedhaminiwa na GSM?
 
SIMBA SC
*Akilia
*Akilalamika
*Akitukana
*Akipigana
*Akiweweseka
*Shabiki akizimia {sio kufa}
*Akinitukana baada ya kumfunga
*akifungwa
*Akidroo
*Akilimwa faini
* Migogoro
*N.K

KWETU WANANCHI NI FURAHA NA NDEREMO
 
Shida ipo, toka mechi ya Dodoma jiji
Yaan hata ngao ya jamii ilikuwa tupigwe nne na yanga lkn refa alisaidia.
Hao wazee akili Iko chini
Acha ujinga wewe siyo Simba ni utopolo. Na una mambo hayo hayo tu. Sasa inakusaidia nini? Au ili upate tu likes? Hiyo post yako hapo chini umeandika kiuto.

“Yanga yeye hasajili, wenu ni vijana yanga wazee
Aziz ki
Pacome
Yao
Boka
Job
Bacca
Mudathir
Nzegeli
Dube
Mzize
Musonda
Baleke
Hao ni wazee au ndio mnajipa matumaini.
Mpira ni SAYANSI huwa haudanganyi
Yanga nao wanaganyia kazi mapungufu yao na msimu ujao Aucho analetewa mbadala
Yaan ukijenga kwako Simba, yanga nae anajenga kwake.
Binafsi nyie Bado sana njia ya yanga kushuka labda auze wachezaji watano muhimu kama bacca, diara, Aziz ki, pacome, Yao kwasi, na mzize nje ya hapo Bado mtatafutana kupata quality squand kama iliyopo yanga.”
 
SIMBA SC
*Akilia
*Akilalamika
*Akitukana
*Akipigana
*Akiweweseka
*Shabiki akizimia {sio kufa}
*Akinitukana baada ya kumfunga
*akifungwa
*Akidroo
*Akilimwa faini
* Migogoro
*N.K

KWETU WANANCHI NI FURAHA NA NDEREMO
Na supu mnakunywa tena yenye Minofu
 
Sijui kama ni kweli wanachosema. Lakini kuhusu referees kuna shida.
Shida ipo, toka mechi ya Dodoma jiji
Yaan hata ngao ya jamii ilikuwa tupigwe nne na yanga
Acha ujinga wewe siyo Simba ni utopolo. Na una mambo hayo hayo tu. Sasa inakusaidia nini? Au ili upate tu likes? Hiyo post yako hapo chini umeandika kiuto.

“Yanga yeye hasajili, wenu ni vijana yanga wazee
Aziz ki
Pacome
Yao
Boka
Job
Bacca
Mudathir
Nzegeli
Dube
Mzize
Musonda
Baleke
Hao ni wazee au ndio mnajipa matumaini.
Mpira ni SAYANSI huwa haudanganyi
Yanga nao wanaganyia kazi mapungufu yao na msimu ujao Aucho analetewa mbadala
Yaan ukijenga kwako Simba, yanga nae anajenga kwake.
Binafsi nyie Bado sana njia ya yanga kushuka labda auze wachezaji watano muhimu kama bacca, diara, Aziz ki, pacome, Yao kwasi, na mzize nje ya hapo Bado mtatafutana kupata quality squand kama iliyopo yanga.”
Au sio 😅
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
JamiiForums-31645776.jpeg
 
Back
Top Bottom