Wazee wa Simba kuanika majina ya Mawaziri waliohujumu Dabi ya Kariakoo

Wakati wadau wanalalamika wakati Simba Ina nufaika na makosa ya kibinadamu katika mechi za Azam na Dodoma JiJi, Kiongozi wa Simba Ahmed Ally alishauri malalamiko yote juu ya waamuzi yapelekwe Tff kwakua Kuna Sanduku la maoni.

Kuliko kusumbua watu ni Bora ushauri uo wa watu wa Simba wange Anza ku utekeleza kwanza wao wenyewe kuliko kutoa matamko ya kutafuta huruma kwa Jamii.
 
Hivi ndiyo kusema simba haistahili kufungwa na Yanga! Au ndiyo kusema mpaka ligi ina tamatika, haitafungwa tena timu nyingine yoyote ile kwenye ligi yetu?

Na ikitokea ikafungwa tena, lawama kwa wakati huo zitaelekezwa kwa nani?
 
Your browser is not able to display this video.
 
Sisi washabiki wa Simba lialia na tunaojua mpira tumekubali matokeo na tunajipanga kwa mechi zijazo. Hao Wazee wa Simba walioongea leo ni WAJINGA NA WAPUMBAVU wasiojia mpira. Kama wangelikuwa wakweli wangeliwataja hapo hapo hao walioijumu Simba. Wanatoa siku saba kama maandamano ya Chadema? KUMBAVU!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…