Wazee wa Simba kuanika majina ya Mawaziri waliohujumu Dabi ya Kariakoo

Nimewaelewa wazee kwa hoja nne
1.Sio sawa kwa GSM kudhamini vilabu vinne kwani wakiambiwa lolote sio rahisi kubisha,hapa kuna harufu ya rushwa.
2.Siasa na wanasiasa wameingilia mpira wa Tanzania, hasa kitendo cha mwanasiasa mmoja kununua Ihefu ambayo imemfunga yanga mara mbili mfululizo hapa kuna jambo chini ya kapeti.
3.Kauli za wasemaji na wanasiasa kabla ya mechi zinaleta tafakuri juu ya upangaji wa matokeo.
 
walete ushahidi
 
Hahahaha 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 hahaaaaaaaaaaaa Thiiimbaaaa 5imba Guvu Moya janja2 sana.
 
Wee nae ukizeeka utakuwa mzee wa hovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…