ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Yanga anazifunga timu zilizo dhaminiwa na GSM peke yake? Kaizer Chiefs pia wamedhaminiwa na GSM?Nimewaelewa wazee kwa hoja nne
1.Sio sawa kwa GSM kudhamini vilabu vinne kwani wakiambiwa lolote sio rahisi kubisha,hapa kuna harufu ya rushwa.
2.Siasa na wanasiasa wameingilia mpira wa Tanzania, hasa kitendo cha mwanasiasa mmoja kununua Ihefu ambayo imemfunga yanga mara mbili mfululizo hapa kuna jambo chini ya kapeti.
3.Kauli za wasemaji na wanasiasa kabla ya mechi zinaleta tafakuri juu ya upangaji wa matokeo.
Mshukuru ubovu wa marefa kuanzia mechi za Dodoma jiji, Azam mpka leo mngekua na hali mbaya sanaSijui kama ni kweli wanachosema. Lakini kuhusu referees kuna shida.
Leo simba SC wanakutana na prisons pale uwanja wa sokeinembwembwe tu hizo za kupunguza machungu na kutaka kutufanya tusahau jambo la msingi๐
Huko umeenda mbali sana tubaki Kariakoo, je Simba wanadhaminiwa na GSM?, kwasababu nawao wanapewa doseYanga anazifunga timu zilizo dhaminiwa na GSM peke yake? Kaizer Chiefs pia wamedhaminiwa na GSM?
Watakoma na Prison wamedhaminiwa na GSM hatoki mtuLeo simba SC wanakutana na prisons pale uwanja wa sokeine
Katika hatua hiyo, Wazee wa Simba wamewataka mawaziri hao kutoa ufafanuzi ndani ya siku saba, wakisisitiza kuwa hujuma hizi zinaathiri ushindani wa haki katika soka la Tanzania.
Wee nae ukizeeka utakuwa mzee wa hovysio kweli
Sio kweli mimi nitakuwa mzee mwenye hekima kama hao wazee waliomwaga madini kwa utulivu,ni vile wewe ni kijani na njano mnufaika mkubwa wa yanayodaiwa huwezi kuona point.Wee nae ukizeeka utakuwa mzee wa hovyo
Hata nyie mushukuru marefaMshukuru ubovu wa marefa kuanzia mechi za Dodoma jiji, Azam mpka leo mngekua na hali mbaya sana
Acha ujinga wewe siyo Simba ni utopolo. Na una mambo hayo hayo tu. Sasa inakusaidia nini? Au ili upate tu likes? Hiyo post yako hapo chini umeandika kiuto.Shida ipo, toka mechi ya Dodoma jiji
Yaan hata ngao ya jamii ilikuwa tupigwe nne na yanga lkn refa alisaidia.
Hao wazee akili Iko chini
Ipo hiyo? ๐Jamani ile ni korujuann...haiwezekani๐๐
We miss your stories broHalafu huyo wa mbele ni baba mkwe wangu,wewe Kalpana mbona baba yako nilimtumia Juzi elfu 80 ya msosi,sababu ya yeye kwenda hadharani kujidhalilisha ni ipi?๐
Wanawazuga viongozi wa Simba kwasababu waliwatumainisha kuwa yanga hatoki,kwa aibu wanaibuka kuwa wamehujumiwa na mawaziri,mwamuzi,GSM kudhamini vilabu vingi n.kWazee warudishe pesa walizopewa Waloge Yanga ifungwe, waache visababu vya ajabu ajabu
Na supu mnakunywa tena yenye MinofuSIMBA SC
*Akilia
*Akilalamika
*Akitukana
*Akipigana
*Akiweweseka
*Shabiki akizimia {sio kufa}
*Akinitukana baada ya kumfunga
*akifungwa
*Akidroo
*Akilimwa faini
* Migogoro
*N.K
KWETU WANANCHI NI FURAHA NA NDEREMO
Shida ipo, toka mechi ya Dodoma jijiSijui kama ni kweli wanachosema. Lakini kuhusu referees kuna shida.
Au sio ๐Acha ujinga wewe siyo Simba ni utopolo. Na una mambo hayo hayo tu. Sasa inakusaidia nini? Au ili upate tu likes? Hiyo post yako hapo chini umeandika kiuto.
โYanga yeye hasajili, wenu ni vijana yanga wazee
Aziz ki
Pacome
Yao
Boka
Job
Bacca
Mudathir
Nzegeli
Dube
Mzize
Musonda
Baleke
Hao ni wazee au ndio mnajipa matumaini.
Mpira ni SAYANSI huwa haudanganyi
Yanga nao wanaganyia kazi mapungufu yao na msimu ujao Aucho analetewa mbadala
Yaan ukijenga kwako Simba, yanga nae anajenga kwake.
Binafsi nyie Bado sana njia ya yanga kushuka labda auze wachezaji watano muhimu kama bacca, diara, Aziz ki, pacome, Yao kwasi, na mzize nje ya hapo Bado mtatafutana kupata quality squand kama iliyopo yanga.โ