Wazee wa simba ulizen mbona wachezaji mnaowaacha wakija Yanga wako moto shida iko wapi????

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Badooo sijapata jibu kwa nnavyomwona chama na home boy mkude wanachoffanya uwanjan

Najiuliza sana sana hivi kuna shida gani simba

Iweje wachezaji mnaowaacha wakija Yanga wanatakaa vibaya mno

Kituo kinachofwata

Fredinhoooooo

Tunataka kuwaprove wrong....
 
shida viongozi ama hela??
 
Badooo sijapata jibu kwa nnavyomwona chama na home boy mkude wanachoffanya uwanjan

Najiuliza sana sana hivi kuna shida gani simba

Iweje wachezaji mnaowaacha wakija Yanga wanatakaa vibaya mno

Kituo kinachofwata

Fredinhoooooo

Tunataka kuwaprove wrong....
Wanacheza na timu ndogo..si mlisema ni wachezaji wa mechi ndogo..(Chama)
 
Badooo sijapata jibu kwa nnavyomwona chama na home boy mkude wanachoffanya uwanjan

Najiuliza sana sana hivi kuna shida gani simba

Iweje wachezaji mnaowaacha wakija Yanga wanatakaa vibaya mno

Kituo kinachofwata

Fredinhoooooo

Tunataka kuwaprove wrong....
Standard ya Yanga iko juu hivyo na wao wanabadilika kwenda nayo. Plus kwamba Yanga hailei mchezaji akileta za kuleta. So wachezaji wabalijua hilo.
 
Pdidy habari za michezo unalazimisha hujui kitu,ni mchezaji gani aliachwa simba akawa wa moto yanga
Baleke,mkude,okra huo moto wao uko wapi?
Chama mzee wa mechi ndogo hakuachwa aligomea mkataba
 
Back
Top Bottom