Okra hakusajiliwa baada ya kuachwa na Simba.Agustine okra
Wanacheza na timu ndogo..si mlisema ni wachezaji wa mechi ndogo..(Chama)Badooo sijapata jibu kwa nnavyomwona chama na home boy mkude wanachoffanya uwanjan
Najiuliza sana sana hivi kuna shida gani simba
Iweje wachezaji mnaowaacha wakija Yanga wanatakaa vibaya mno
Kituo kinachofwata
Fredinhoooooo
Tunataka kuwaprove wrong....
Standard ya Yanga iko juu hivyo na wao wanabadilika kwenda nayo. Plus kwamba Yanga hailei mchezaji akileta za kuleta. So wachezaji wabalijua hilo.Badooo sijapata jibu kwa nnavyomwona chama na home boy mkude wanachoffanya uwanjan
Najiuliza sana sana hivi kuna shida gani simba
Iweje wachezaji mnaowaacha wakija Yanga wanatakaa vibaya mno
Kituo kinachofwata
Fredinhoooooo
Tunataka kuwaprove wrong....