ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Wazee wa Simba wameitisha mkutano na waandishi wa habari na kulaani mambo mengi yaliyotokana na kipigo kutoka yanga.
1. TFF wanapokea maagizo kutoka Kwa mawaziri wakiongozwa na Mwigulu kuhakikisha Yanga wanafaulu Simba wanafeli.
2. Philip Mpango alisema SIKU YA YANGA DAY KUWA YANGA ATAKUWA BINGWA , HIVYO WAO wazee wa Simba wanaona hapo ni serikali kuingilia TFF Ili ihakikishe yanga Bingwa.
3. Wazee wa Simba wameenda mbali na kumlalamikia Karia kuwa wao wamemsaidia kuingia madarakani lakini hawasaidii na anachofanya ni kuwahujumu.
4. Wazee wa Simba wamesema siku ya Leo walitaka kuitisha maandano , ili kupinga wao kufungwa na Yanga.
5. Wazee wa Simba wamesema Yanga wanajitapa kuwa ninl timu ya Wananchi, timu ya Serikali, na inasapotiwa na serikali, Hali inayopelekea wao kuonewa.
6. Wazee wa Simba wameenda mbali na kuhoji Je Mwigulu anapata wapi pesa za kiendesha timu, au ni hizi tozo zetu.
Kiufupi ni kuwa Simba wamechanganyikiwa na kufungwa na Yanga, Sasa wanataka kuhusisha kila kitu na Siasa na Serikali, Mimi nawashauri wasiingize serikali kwenye migogoro yao ya kipa na beki kujifunga