Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TFF ndiyo walipokea maelekezo ya mawaziri na kumuagiza Kayoko amuachia yule Ateba wenu aliyekuwa offside aende kufunga? TFF ndiyo baadaye wakaahirisha na kumuagizo Ateba asimfunge Diarra?Wazee wa Simba wameitisha mkutano na waandishi wa habari na kulaani mambo mengi yaliyotokana na kipigo kutoka yanga.
1. TFF wanapokea maagizo kutoka Kwa mawaziri wakiongozwa na Mwigulu kuhakikisha Yanga wanafaulu Simba wanafeli.
2. Philip Mpango alisema SIKU YA YANGA DAY KUWA YANGA ATAKUWA BINGWA , HIVYO WAO wazee wa Simba wanaona hapo ni serikali kuingilia TFF Ili ihakikishe yanga Bingwa.
3. Wazee wa Simba wameenda mbali na kumlalamikia Karia kuwa wao wamemsaidia kuingia madarakani lakini hawasaidii na anachofanya ni kuwahujumu.
4. Wazee wa Simba wamesema siku ya Leo walitaka kuitisha maandano , ili kupinga wao kufungwa na Yanga.
5. Wazee wa Simba wamesema Yanga wanajitapa kuwa ninl timu ya Wananchi, timu ya Serikali, na inasapotiwa na serikali, Hali inayopelekea wao kuonewa.
6. Wazee wa Simba wameenda mbali na kuhoji Je Mwigulu anapata wapi pesa za kiendesha timu, au ni hizi tozo zetu.
Kiufupi ni kuwa Simba wamechanganyikiwa na kufungwa na Yanga, Sasa wanataka kuhusisha kila kitu na Siasa na Serikali, Mimi nawashauri wasiingize serikali kwenye migogoro yao ya kipa na beki kujifunga
Nani kalazimisha mkuu. Hahahaha. Hii nchi hii.Ni ujinga uliopitiliza kulazimisha Yanga kushinda kila mara.
Ligi inaonekana ya kijinga na nchi nzima tunaonekana hatuna akili.
Punguza povu mkuu, hao ni wazee umri nao umeenda. Ni juzi tu kuna mzee wenu alikuwa famous.TFF ndiyo walipokea maelekezo ya mawaziri na kumuagiza Kayoko amuachia yule Ateba wenu aliyekuwa offside aende kufunga? TFF ndiyo baadaye wakaahirisha na kumuagizo Ateba asimfunge Diarra?
Vipi kuhusu faulo za Yanga, upuuzi wa Kagoma kuparamia wachezaji wenzake hata walipokuwa hawana mpira?
Mbona mechi za Azam na Dodoma Jiji hamziongelei? Na zenyewe mawaziri waliagiza Simba wabwebwe?
Jiandaeni kisaiolojia huko Mbeya, mnaenda kudodosha points.
Kelele zote hizi ni mbinu yenu ya kuucheza mpira nje ya uwanja
Kati ya mambo wamekosea sana ni kumtaja makamu wa rais kwa ubaya.Mimi Abuu Kauthar wa hapa Holili, nashauri TFF fungia hao wazee wa makolo, enyi wazee wa makolo mtatafuta mchawi hadi lini. Kaeni chini muyamalize migogoro si mizuri
HAO NI WAZEE WENYE HASIRA KALI.hiyo namba 5 nimecheka sana...wakati yanga wanajiita wananchi wao si walijiita wenye nchi sasa walizubaa wapi wananchi kuishinda serikali amabyo ni guvu moya?nyie wazee kaeni nyumbani mlee wajukuu mpira ni burudani ya vijana
Mimi hata siamini kama maneno yao ndio msimamo wa viongozi wa wazee wa SIMBA. naona hiki ni KIKUNDI CHA WAZEE WENYE HASIRA NDANI YA KLABU YA SIMBA. Kama Hawa ndio viongozi na wasemaji wa wazee wa simba basi kada hii ina wasemaji wa hovyo kwelikweli.Hawa wazee shule hamna. Wameidhalilisha sana hiyo timu yao kwa kubwabwaja bila facts na logic
2. Wanatishia kuharibu uwanja wa Taifa. Serikali iwamulike hawa na kuwachukulia hatua
3. Haileweki hoja ya msingi ni ipi. Mara kayoko, GSM, udhamini vilabu nane, Mwigulu Nchemba, Tozo, Ccm na ujinga mwingine mwingi.
JE HUU NDIO MSIMAMO WA SIMBA KAMA TAASISI??
mzimu wao upo KIBITI ndio unawatuma mashabiki WANG'OE VITI.Tabia zote walizonazo Mashabiki wa Simba wamerithi Kwa Hawa Wazee.,.!
Wakati Simba akiwa kwenye Ubora wake, Mashabiki wa Yanga na mimi nikiwemo tulikua tunakubari kwamba Simba Kwa Sasa Wana Kikosi Bora..!
Na sisi tulikua tunaamini utafika wakati tukipata Mdhamini tutakua na Team Bora, Mungu si Mangungu GSM kaja, kabadirisha kila kitu, Leo Simba hawataki kukubari kuwa Yanga we ana Team Bora Kwa Sasa,....!
Tutachukua Ubingwa Mfululizo miaka 10.
Tutawafunga Mfululizo mpaka Mkuubari kuwa Yanga wametuzidi.
Duu Kumbe ni kweli kwamba tatizo la simba ni wanachama wenyewe kama wapoWazee wa Simba wameitisha mkutano na waandishi wa habari na kulaani mambo mengi yaliyotokana na kipigo kutoka yanga.
1. TFF wanapokea maagizo kutoka Kwa mawaziri wakiongozwa na Mwigulu kuhakikisha Yanga wanafaulu Simba wanafeli.
2. Philip Mpango alisema SIKU YA YANGA DAY KUWA YANGA ATAKUWA BINGWA , HIVYO WAO wazee wa Simba wanaona hapo ni serikali kuingilia TFF Ili ihakikishe yanga Bingwa.
3. Wazee wa Simba wameenda mbali na kumlalamikia Karia kuwa wao wamemsaidia kuingia madarakani lakini hawasaidii na anachofanya ni kuwahujumu.
4. Wazee wa Simba wamesema siku ya Leo walitaka kuitisha maandano , ili kupinga wao kufungwa na Yanga.
5. Wazee wa Simba wamesema Yanga wanajitapa kuwa ninl timu ya Wananchi, timu ya Serikali, na inasapotiwa na serikali, Hali inayopelekea wao kuonewa.
6. Wazee wa Simba wameenda mbali na kuhoji Je Mwigulu anapata wapi pesa za kiendesha timu, au ni hizi tozo zetu.
Kiufupi ni kuwa Simba wamechanganyikiwa na kufungwa na Yanga, Sasa wanataka kuhusisha kila kitu na Siasa na Serikali, Mimi nawashauri wasiingize serikali kwenye migogoro yao ya kipa na beki kujifunga
Kwa hiyo mshabiki wa simba akipata kazi gsm asiende kwa sababu tu haipendi yangaMnakimbilia serikali kwanini msiseme fifa au Tff. Kumbe kiongozi wa Tff mke wakeamepewa kazi na Gsm na mwingine Bodi ya ligi kampuni yake imepewa tenda ya kufagia na Gsm.
Ngoja tule mtori nyama ipo chini.
Wewe stroke ilishakula ubongo wako tangu wakati ule ulipomuona jiwe kuwa ni mungu mtu.Ni ujinga uliopitiliza kulazimisha Yanga kushinda kila mara.
Ligi inaonekana ya kijinga na nchi nzima tunaonekana hatuna akili.
Tena hizo sababu hazitoshi mimi naweza kuwaongezea 3 zenye mashiko, japo zakwao sijazisoma kwasababu najua hazina mashikoSisi ndio furaha yetu tukiona mnapiga kelele, mwaka huu mpaka.maji mtaita mma kolo Fc
Kinyonge sanaSisi tujenge timu, kuna namna tukiwakanda hata refa hawezi fanya lolote maana mpira upo live.
Hapana mkuu, nilikaribishwa kwenye supu fulani la timu ina rangi za kijani na njano mpaka leo tumbo halipo sawa.Kinyonge sana
Namba sita ni hoja muhimu Ila kwa kuendekeza ushabiki mnapita kimyakimya.Wazee wa Simba wameitisha mkutano na waandishi wa habari na kulaani mambo mengi yaliyotokana na kipigo kutoka yanga.
1. TFF wanapokea maagizo kutoka Kwa mawaziri wakiongozwa na Mwigulu kuhakikisha Yanga wanafaulu Simba wanafeli.
2. Philip Mpango alisema SIKU YA YANGA DAY KUWA YANGA ATAKUWA BINGWA , HIVYO WAO wazee wa Simba wanaona hapo ni serikali kuingilia TFF Ili ihakikishe yanga Bingwa.
3. Wazee wa Simba wameenda mbali na kumlalamikia Karia kuwa wao wamemsaidia kuingia madarakani lakini hawasaidii na anachofanya ni kuwahujumu.
4. Wazee wa Simba wamesema siku ya Leo walitaka kuitisha maandano , ili kupinga wao kufungwa na Yanga.
5. Wazee wa Simba wamesema Yanga wanajitapa kuwa ninl timu ya Wananchi, timu ya Serikali, na inasapotiwa na serikali, Hali inayopelekea wao kuonewa.
6. Wazee wa Simba wameenda mbali na kuhoji Je Mwigulu anapata wapi pesa za kiendesha timu, au ni hizi tozo zetu.
Kiufupi ni kuwa Simba wamechanganyikiwa na kufungwa na Yanga, Sasa wanataka kuhusisha kila kitu na Siasa na Serikali, Mimi nawashauri wasiingize serikali kwenye migogoro yao ya kipa na beki kujifunga
Aaahaaa dahKama ni kweli wamesema hivyo hiyo team ina matatizo sana na itapata tabu sana, hivi kweli unaenda kusajili awesu ambaye hata singida hapati namba, unasajili, kijili, kibu bado kwako ndio tegemeo afu uje ulaumu serikali sijui kwa nini mashabiki wa hii team mtazamo wao ni mdogo sana, Mo kanufaika sana na hii team kauza Mo Extra nchi nzima kupitia hii lakini hili hawalioni wamwambie aongeze pesa wasajili wachezaji bora, bado wanahangaika na mpira wa vijiweni sawa awamu hii watakuwa nafasi ya nne.