Wazee wa Simba wagundua mbinu zilizo wahujumu mechi ya derby

Wazee wa Simba wameitisha mkutano na waandishi wa habari na kulaani mambo mengi yaliyotokana na kipigo kutoka yanga.

1. TFF wanapokea maagizo kutoka Kwa mawaziri wakiongozwa na Mwigulu kuhakikisha Yanga wanafaulu Simba wanafeli.

2. Philip Mpango alisema SIKU YA YANGA DAY KUWA YANGA ATAKUWA BINGWA , HIVYO WAO wazee wa Simba wanaona hapo ni serikali kuingilia TFF Ili ihakikishe yanga Bingwa.

3. Wazee wa Simba wameenda mbali na kumlalamikia Karia kuwa wao wamemsaidia kuingia madarakani lakini hawasaidii na anachofanya ni kuwahujumu.

4. Wazee wa Simba wamesema siku ya Leo walitaka kuitisha maandano , ili kupinga wao kufungwa na Yanga.

5. Wazee wa Simba wamesema Yanga wanajitapa kuwa ninl timu ya Wananchi, timu ya Serikali, na inasapotiwa na serikali, Hali inayopelekea wao kuonewa.

6. Wazee wa Simba wameenda mbali na kuhoji Je Mwigulu anapata wapi pesa za kiendesha timu, au ni hizi tozo zetu.

Kiufupi ni kuwa Simba wamechanganyikiwa na kufungwa na Yanga, Sasa wanataka kuhusisha kila kitu na Siasa na Serikali, Mimi nawashauri wasiingize serikali kwenye migogoro yao ya kipa na beki kujifunga
Bro.. fanya investement kwenye timu.. achA mazingaombwe!! Yanga alikukosa zaidi ya bao 4!!!
 
Hahahaha yaani wazee wanachekesha, hakika mchawi akishindwa kukuroga gizani lazima ajitokeze kulalamika eti kwanini anaonewa
 
Kama ni kweli wamesema hivyo hiyo team ina matatizo sana na itapata tabu sana, hivi kweli unaenda kusajili awesu ambaye hata singida hapati namba, unasajili, kijili, kibu bado kwako ndio tegemeo afu uje ulaumu serikali sijui kwa nini mashabiki wa hii team mtazamo wao ni mdogo sana, Mo kanufaika sana na hii team kauza Mo Extra nchi nzima kupitia hii lakini hili hawalioni wamwambie aongeze pesa wasajili wachezaji bora, bado wanahangaika na mpira wa vijiweni sawa awamu hii watakuwa nafasi ya nne.
Haujui soccer, endelea na taarab
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
JamiiForums-1769471325.jpeg
 
Back
Top Bottom