Wazee wa Simba wagundua mbinu zilizo wahujumu mechi ya derby

Sisi tujenge timu, kuna namna tukiwakanda hata refa hawezi fanya lolote maana mpira upo live.
 
TFF ndiyo walipokea maelekezo ya mawaziri na kumuagiza Kayoko amuachia yule Ateba wenu aliyekuwa offside aende kufunga? TFF ndiyo baadaye wakaahirisha na kumuagizo Ateba asimfunge Diarra?
Vipi kuhusu faulo za Yanga, upuuzi wa Kagoma kuparamia wachezaji wenzake hata walipokuwa hawana mpira?

Mbona mechi za Azam na Dodoma Jiji hamziongelei? Na zenyewe mawaziri waliagiza Simba wabwebwe?

Jiandaeni kisaiolojia huko Mbeya, mnaenda kudodosha points.
Kelele zote hizi ni mbinu yenu ya kuucheza mpira nje ya uwanja
 
Ni ujinga uliopitiliza kulazimisha Yanga kushinda kila mara.

Ligi inaonekana ya kijinga na nchi nzima tunaonekana hatuna akili.
Nani kalazimisha mkuu. Hahahaha. Hii nchi hii.
 
Punguza povu mkuu, hao ni wazee umri nao umeenda. Ni juzi tu kuna mzee wenu alikuwa famous.
 
Mbumbumbu nani aliwaroga
Yaani hii Yanga iliyoipiga Kaizer chiefs goli 4

Ikawapiga Azam 4
Ikatoa sare 2 na mamelod

Ishindwe kuifunga Simba inayojitafuta

Mbumbumbu kaeni na viongozi na wadhamin wenu watengeze timu

Yaani pale Simba wachezaji wenye nafuu ni Ateba na Kibu basi
 
Mimi Abuu Kauthar wa hapa Holili, nashauri TFF fungia hao wazee wa makolo, enyi wazee wa makolo mtatafuta mchawi hadi lini. Kaeni chini muyamalize migogoro si mizuri
Kati ya mambo wamekosea sana ni kumtaja makamu wa rais kwa ubaya.
Cheo Cha makamu wa rais ni cheo kikubwa sana kwahiyo hata akikosea siyo busara kutaja makosa hayo hadharani.
HIVI KUNA MTU ANATARAJIA KWAMBA MAKAMU WA RAIS ATAOMBA MSAMAHA ETI KISA KASEMA YANGA NI MABINGWA?! ،Hawa jamaa ni wazee lakini hawana busara Wala hekima Wala busara za kumaliza migogoro.
Ninachokiona ni kwamba hata kama Hawa wazee ni wanachama wa klabu ya Simba lakini sio wasemaji wa timu ya Simba. HILI NI GENGE LA WAZEE WENYE HASIRA NDANI YA KLABU YA SIMBA NA SIAMINI KUWA MANENO WALIYOYATOA NDIO MSIMAMO WA WAZEE WA SIMBA. Ukiangalia hata walivyomaliza mkutano utagundua kwamba hawakuwa wamepanga mzungumzaji wa mwisho atakae hitimisha mkutano wao ni nani!.
 
hiyo namba 5 nimecheka sana...wakati yanga wanajiita wananchi wao si walijiita wenye nchi sasa walizubaa wapi wananchi kuishinda serikali amabyo ni guvu moya?nyie wazee kaeni nyumbani mlee wajukuu mpira ni burudani ya vijana
HAO NI WAZEE WENYE HASIRA KALI.
 
Mimi hata siamini kama maneno yao ndio msimamo wa viongozi wa wazee wa SIMBA. naona hiki ni KIKUNDI CHA WAZEE WENYE HASIRA NDANI YA KLABU YA SIMBA. Kama Hawa ndio viongozi na wasemaji wa wazee wa simba basi kada hii ina wasemaji wa hovyo kwelikweli.
 
mzimu wao upo KIBITI ndio unawatuma mashabiki WANG'OE VITI.
 

Attachments

  • MAGAMBO_MACHIMU_-_YANGA__OFFICIAL_AUDIO_(360p).mp4
    11.5 MB
Duu Kumbe ni kweli kwamba tatizo la simba ni wanachama wenyewe kama wapo
 
Sisi ndio furaha yetu tukiona mnapiga kelele, mwaka huu mpaka.maji mtaita mma kolo Fc
Tena hizo sababu hazitoshi mimi naweza kuwaongezea 3 zenye mashiko, japo zakwao sijazisoma kwasababu najua hazina mashiko

1. Lawama ziende kwa meneja wa uwanja wa mkapa kushindwa kupunguza maji
baada ya mvua kunyesha, miundombinu mibovu ya uwanja, tujikumbushe ndiyo wametoka kuukarabati, labda bado wanaendelea kama uko tayari basi kuna matumizi mabaya ya kodi za wananchi.

2. Lawama ziende kwa TFF kupanga Derby siku chache baada ya michuano ya kimataifa kuna hasara za pande 2 wachezaji wanashindwa kujituma timu ya taifa ipasavyo kuogopa kuumia kabla ya derby, pia wanakuwa hawana nguvu kutokana na wengine kufika siku ya derby, (Lack of drive and energy for National teams players)

3. Lawama kwa TFF, Kumuweka refa ambaye hujulikana maamuzi yake ni ya kubalansi timu,(kubalansi makosa), Hii ndiyo Kwanza nimeisikia kwa wadau wa mpira na nikathibitisha nilipo uangalia mchezo huo

Hitimisho Matumizi ya VAR na mafunzo mahususi yanahitajika

Kubalansi timu=to balance foul play, Yaani kubalansi timu ni makosa ya timu A yanafutwa kwa makosa ya timu B, Hii tuite kayoko style

Angalizo TFF hawayafanyii kazi malalamiko mbalimbali kuhusu marefa kwa wakati, madhara yake makosa yaleyale yanajirudia na ndiyo maana lawama zinaenda kwa TFF
 
Aibu kwanini tusikubali tujipange upya kwamba hatufungiki? Au yanga hawafungiki
 
Namba sita ni hoja muhimu Ila kwa kuendekeza ushabiki mnapita kimyakimya.
 
Aaahaaa dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…