Kuna jamaa yangu anamiliki Subaru hapa jirani.. ule muungurumo ni kelele tosha. Sijawahi yaelewa haya magari
L/C,Prado, Hilux Hand Break Ipo Hivyo Unatakiwa UipendeHand brake ilipo kaa tu hapa sipendi gari za ivyo
Ni lazima?L/C,Prado, Hilux Hand Break Ipo Hivyo Unatakiwa Uipende
Si ndio umesogezewa jirani bloangu ili usipate shida tajiri?Hand brake ilipo kaa tu hapa sipendi gari za ivyo
Mimi naipenda gia ya kupush on and off kama iliopo kwenye alphard au tako la nyaniSi ndio umesogezewa jirani bloangu ili usipate shida tajiri?
SanaKana muonekano mzuri
Unatembea kwa miguu na daladala miezi 60 yaani siku 1800 tokea sasa ili kusubiri ishuke bei ? Maisha mafupi, nunua sasa kiongoziNajua 2030 itakua imeshuka bei ngoja niisubiri
Wahindi na waarab wanavipenda hasa wadada.Sana
Leo nimeshindwa kuemdesha gar kisa mvua ikabidi nisimame aseWahindi na waarab wanavipenda hasa wadada.
Umeshindwaje? Au ni gari la barafu ulihofia litayeyuka?Leo nimeshindwa kuemdesha gar kisa mvua ikabidi nisimame ase
Sio mzoevu sioni mbele wala taa nikaona yanini kuja kupata ajar hapaUmeshindwaje? Au ni gari la barafu ulihofia litayeyuka?
Kwahyo wazoefu hawapat ajali?Sio mzoevu sioni mbele wala taa nikaona yanini kuja kupata ajar hapa