Wazee wa Subaru mnasemaje kuhusu Subaru XV. Naona muonekano mzuri, specifications kali hafu bei kitonga!

Ile wameenda nayo South nafikiri ni mazda cx5
Hapana ni hii hii Subaru. I had to revisit his tiktot page to verify again.

Hizi picha wakiwa nchi mbalimbali on their way and its clearly not a CX5.
 
Attachments

  • IMG_6882.jpeg
    IMG_6882.jpeg
    572 KB · Views: 12
  • IMG_6881.jpeg
    IMG_6881.jpeg
    615.2 KB · Views: 12
  • IMG_6880.jpeg
    IMG_6880.jpeg
    506.4 KB · Views: 13
Hapana ni hii hii Subaru. I had to revisit his tiktot page to verify again.

Hizi picha wakiwa nchi mbalimbali on their way and its clearly not a CX5.
Sahihi,, kuna moja pia niliona wakiwa na mazda cx5
 
Back
Top Bottom