Wazee wa Subaru mnasemaje kuhusu Subaru XV. Naona muonekano mzuri, specifications kali hafu bei kitonga!

Imekaa kama advance ya impreza.
Umetisha..
IMG_0674.jpeg
 
Hand brake ilipo kaa tu hapa sipendi gari za ivyo
Kwa sports cars haswa Subaru lazma handbrake iwe hapo. Inasaidia ukitaka kufanya michezo ya drifting, inakuw rahisi sana ku drift maana unainyanyua hyo handbrake. Lkn km ni mzee wa Raum na spacio na premio, hapo basi huna haja na hizi.
 
Niliona wakenya fulani mtandaoni wanaenda nayo Kenya. Ina muonekano mzuri kwangu mimi na kanaonekana kama kako comfortable kusafiri safari ndefu maana kama wale jamaa walienda hadi South Africa ikiwa ni gari ya kawaida lazima uugue.​
 
Ile wameenda nayo South nafikiri ni mazda cx5
 
Back
Top Bottom