Wazee wa Tanga kusoma albadir kwa waliomuua Mzee Ali Mohamed Kibao

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Hazifanyi kazi hizo mambo😄😄😄
 
Hakuna cha albadiri wala albajoto mimi ni muislamu na nimechukizwa sana na hichi kitendo ila kusema ukweli izo dua za albadiri sijui albajoto hamna lolote zaidi ya watu kufanya ushirikina tu

Muislamu wa kweli anoijua vizuri dini yake hafanyi huo upuuzi
 
Safi sn
 
Itajulikana tu wazee wamesema kama mbwai mbwai tu
 
Na sisi huku kwa msisi tuna iyo duwa siku ya jmosi saa tisa.
 
Kwa hiyo sasa tuachane na uchunguzi tujikite kwenye albadil!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…