Wazee wa Tanga kusoma albadir kwa waliomuua Mzee Ali Mohamed Kibao

Wazee wa Tanga kusoma albadir kwa waliomuua Mzee Ali Mohamed Kibao

Albadiri sio Dua , bali ni uchawi wa kiarabu. Ndio maana siku zote inasomwa kuleta madhara tu na sio manufaa. Huwezi sikia mgonjwa akasomewa albadiri ili spine au mwanafunzi akasomewa albadiri ili afaulu mitihani. Albadiri ni uchawi.
Ni duwa mbaya,hata wakatoliki wanayo inaitwa novena,ba zinafanya kazi usipuuze
 
Hili linadhihirisha 'uHopelessness' tuliyofikia Watanzania, baada ya vyombo vya kutenda HAKI kushindwa.

Kwahiyo Watu wanatafuta HAKI kwa njia yoyote.

Huko Somalia zilianza Albadiri, Mawe, Mikuki, Sime na Majambia mwishowe Silaha za moto na hatimae full blown civil war mpaka leo.
 
Hio dua lazma kwanza msomaji awe msafi kwelikweli, na iliwezekana sana enzi hizo kwa sasa labda waroge ila kukuta mtu msafi wa kukusomea albadili ikafanya kazi kwa sasa ngumu
Tangu lini mshirikina akawa msafi?! Albadiri ni uchawi mwanzo mwisho la kusikitisha ni namna hao wasomaji wa albadiri wanavyopewa heshima ya ushekhe wakati ni wachawi wakubwa!
 
Kutoka Tanga inaripotiwa kuwa wazee wa Tanga wamepanga kusoma dua ya kushitakia almaarufu kama albadil kwa walioshiriki kumuua mzee mwenzao Alli Mohamed Kibao.

Watakaosomewa duwa hiyo ni wale waliopanga njama za maauaji,walioshiriki kumteka,waliomuua,waliofahamu mpango mzima wa mauaji hayo,nk

Kwenye suala la duwa ukiondoa wazee wa Pemba basi wanafuata wazee wa Tanga
Wasije wakawa wale walio msomea AFANDE SELE ALBADILI afariki Ila AFANDE SELE ANADUNDA MPAKA LEO

NI ANGALIZO TU

NB.
Mamlaka za SERIKALI zifanye kazi yake kuwabaini na kuwa shitaki na kukomesha yote yanayotokea iwe funzo na isijirudie.

R.i.p kibao
 
Back
Top Bottom