Akhi
JF-Expert Member
- Jul 12, 2021
- 3,380
- 5,906
Hunijui kiundani mkuu imani yangu ni tofauti sana na ykoThe guilty are always afraid 😳
😂😂
Kama angeuliwa mtu wako usingesema hivyo !
Ushirikina ni ushirikina tu hauna ndugu wala mzazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hunijui kiundani mkuu imani yangu ni tofauti sana na ykoThe guilty are always afraid 😳
😂😂
Kama angeuliwa mtu wako usingesema hivyo !
Watajijua wao na mola waoKama unawasandia acha wafanye
Ngoja tuone kama uchawi huu utalipa mm siaminiNawaunga mkono
Wasome ama waroge ili walioshiriki haya mauaji na ypte mengine wafikwe na ghadhabu ya Mungu au mahoka
Ngoja tuone kama uchawi huu utalipa mm siamini
wapoo serious aisee😂N
a wengine nimewakuta pale Michungwani !
well saidHili linadhihirisha 'Hopelessness' tuliyofikia Watanzania, baada ya vyombo vya kutenda HAKI kushindwa.
Kwahiyo Watu wanatafuta HAKI kwa njia yoyote.
Huko Somalia zilianza Albadiri, Mawe, Mikuki, Sime na Majambia mwishowe Silaha za moto na hatimae full blown civil war mpaka leo.
Nimecheka kwa nguvu, kwahiyo hizo post ndio proof ya huo ushirikina?Cheki hizi comments nimeziona mahali watu wakitoa experiences zao kuhusu haya mambo,inaonekana wewe umri wako bado mdogo kwenye hii dunia au hujawahi kujichanganya na watu
Ila je huo ushirikina wa albajoto unafanya kazi kama inavyosemwa na hao wanaoamini albadiri?Hakuna cha albadiri wala albajoto mimi ni muislamu na nimechukizwa sana na hichi kitendo ila kusema ukweli izo dua za albadiri sijui albajoto hamna lolote zaidi ya watu kufanya ushirikina tu
Muislamu wa kweli anoijua vizuri dini yake hafanyi huo upuuzi
Sasa kumbe ulitaka mtu akishuhudia aje nyumbani kwako na maspika kupayuka ndio ili ujue haya mambo yapo?Nimecheka kwa nguvu, kwahiyo hizo post ndio proof ya huo ushirikina?
Siamini ushirikina boss, na sijawahi kuona impact yake, simple as that.Sasa kumbe ulitaka mtu akishuhudia aje nyumbani kwako na maspika kupayuka ndio ili ujue haya mambo yapo?
Hata mimi nilivyokuwa mtoto nilikuwa na mawazo kama yakoSiamini ushirikina boss, na sijawahi kuona impact yake, simple as that.
TENA AHLUL BADR NI USHIRIKINA WA KIWANGO CHA LAMI.KUBWA NI KUMSHITAKIA MWENYEZIMUNGU TU. ANATOSHA ,VIFAA VINAVYOTUMIKA KUSOMA HIYO INAYOITWA AHLUL BADR NI VYA KISHIRIKINA TUUU.Sio kweli hmna chochote ni ushirikina tu kma wengine wanavoenda kwa waganga
NothingIla je huo ushirikina wa albajoto unafanya kazi kama inavyosemwa na hao wanaoamini albadiri?
Ni vifaa gani vinavyotumika?TENA AHLUL BADR NI USHIRIKINA WA KIWANGO CHA LAMI.KUBWA NI KUMSHITAKIA MWENYEZIMUNGU TU. ANATOSHA ,VIFAA VINAVYOTUMIKA KUSOMA HIYO INAYOITWA AHLUL BADR NI VYA KISHIRIKINA TUUU.
unaamini kua waliofanya hivyo nao ni wepesi..?Jidanganye,kuna baadhi ya vichaa humu mitaani ni matokeo ya albadir
Lakini isije ikageuza kibao ikala NDANI kwa ile methali ya kikulacho ki nguoni mwako !Hii itakula mpk kwa maza
Poa tu.Lakini isije ikageuza kibao ikala NDANI kwa ile methali ya kikulacho ki nguoni mwako !
Inadaiwa ni sindano,chumvi ya mawe, ndimu n.k Vya nini hivi ???Ni vifaa gani vinavyotumika?