Wazee wa Tanga kusoma albadir kwa waliomuua Mzee Ali Mohamed Kibao

Ndio tujiulize sasa 🤔
Wewe ndio wa kujibu maana unadai kuwa wewe haurogeki na ndio maana unatangaza watu wakuroge. Kusema hurogeki kuna maana ya kwamba una kinga ya uchawi haukufiki ndio maana haurogeki.
 
Wewe sio Muislamu ni Muislamu Jina
 
Kuna jamaa alivunjiwa duka la nguo na kuibiwa alitangaza pale mtaani kama Kuna mtu amehusika aende wayamalize na alitoa mda hakuna aliyejitokeza baada ya hapo tulihushudia kifo Cha mmoja baada ya mwingine vijana walioshiriki kuiba wote tumeshawazika..hi kitu ipo mtu ukimfanyia ubaya akiamua anakupoteza..
 
Hujui ata uliongealo ndo nyie elimu ya tawhiid sifuri mnaishia kwenye shirki na masheikh wenu wa mchongo
Nini maana ya Kisasi ni Haki ?!!!
Maana yake ni kwamba kama huwezi kusamehe na huwezi kupambana na aliyekuumiza kwa lolote lile basi shitaka lako lipeleke kwa Mwenyezi Mungu ambaye yeye ndio Hakimu wa Mahakimu wote !!
Na hiyo ndio Albadir Kurjuaan 😳

Hata Maulid wengine wanaita ni Bidaa lakini wengine wanaendelea kuyafanya !
Wengine hawafungi Ramadhan mpaka Mwezi uonekane Nchini mwao, lakini wengine wanafunga Ramadhan hata Mwezi ukionekana Venezuela !

Hizo zote ni tofauti za mapokeo na Tafsiri tu !
Mambo yote hayo yalikuwepo na bado yapo na yataendelea kuwepo ,

Na watu wataendelea kuisoma Albadir kila watakapoona iko haja ya kufanya hivyo 😳🙌
 
Na wasisome haraka ili hawo mbwa waliomuua mzee Kibao washikwe na mapepo wawe machizi waokote chakula majalani kwa mwaka mzima. Kisha waugue upele mwili mzima kwa muda wa miaka 2 kabla ya kugongwa na magari yawasage hadi ubongo. Ubaya, umbwela!
 
hao wasomaji wa alal badri wapo basi?
 
Hujui ata uliongealo ndo nyie elimu ya tawhiid sifuri mnaishia kwenye shirki na masheikh wenu wa mchongo
Wewe sio Muislamu ni Muislamu Jina tu uislamu halisi haukosi dua liwe baya liwe jema litaenda tu Wewe Muislamu wa mchongo unateka unaua kisha kesho upo Msikitini dua litakufuata huko huko iite shirki Ila inaitwa dua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…