Wazee wa Tanga kusoma albadir kwa waliomuua Mzee Ali Mohamed Kibao

Wazee wa Tanga kusoma albadir kwa waliomuua Mzee Ali Mohamed Kibao

U

kiua nawe utauawa hata kwa maombi !
Damu ya mtu ni nzito !
Watu hawajui kumbe linapigwa Duajuani moja Albadiru lazima tu ajiheshimu atasema yeye ndie anaeteka na kuua kwani wale wengine mpaka kuropoka hadharani kupenda pigwa Duajuani mpaka ukikaa mbele ya umati unaanza kujieleza uliyoyafanya watu wabaki midomo wazi aah kumbe muhusika ndio Wewe
 
Hakuna cha albadiri wala albajoto mimi ni muislamu na nimechukizwa sana na hichi kitendo ila kusema ukweli izo dua za albadiri sijui albajoto hamna lolote zaidi ya watu kufanya ushirikina tu

Muislamu wa kweli anoijua vizuri dini yake hafanyi huo upuuzi
Albadiri ,sio albaridi=albajoto
 
Yaani watu wanaoishi Israel alipotembea Yesu na Ibrahimu, hawaombi Albadiri wanatumia Silaha, alafu nyie mnakimbilia kulia lia na Albadiri nani aliwaroga
 
Back
Top Bottom