Wazee wa Tanga kusoma albadir kwa waliomuua Mzee Ali Mohamed Kibao

Wazee wa Tanga kusoma albadir kwa waliomuua Mzee Ali Mohamed Kibao

Hapo sasa na imekuwa ikisomwa tangu miaka yote
Karne na karne imekuwa ikisomwa lakini husomwa kwa matukio machache ambayo yamewaumiza sana wahusika kiasi kwamba wameshindwa kuvumilia !
Kwa ile spichi huenda dua imeanza kuleta majawabu.
 
Mambo yote iga Gen Z.

Albadiri, ramli, yesu kristo, mtume Mo, Quran, biblia, wapiga ramli, wachawi, waganga wa kienyeji sijuwi manyaunyau nk nk UNAPOTEZA MUDA, HELA NA NGUVU ZAKO TU...
TUACHE KIUSHI KIIMANI KIIMANI..
 
Uchawi ndio ushirikina wenyewe. Kila mchawi ni mshirikina japo mshirikina anaweza asiwe mchawi. Ili kufanya uchawi yatakiwa kuomba msaada kwa roho wachafu na huo ndio ushirikina wenyewe.
Kwahiyo mshirikina ni nani hasa?
 
Waanze na Ban Isiraeel..

Maana pale Ufilistin panawaka moto, vipi Iran Haina Mashekh wakapiga Albadr Mpaka akina Netapaka wakafa?

Mbuzi
Mungu wa Israel, tangu enzi za Farao, alijulikana kuwa ni mwenye nguvu kuzidi miungu wengine wote.
 
Back
Top Bottom