Into the badlands pia sijaionaIli ujue hio orodha ni upumbafu hakuna Prison Break
Okay 👍Izo hamna kitu mzee,
Kwenye 50 za kwanza nimecheck tatu na za pili moja😅😅😅😅... Sema ukisema Karne ya 21 bado kuna series zingefaa kuwemo kwenye orodha hiyo
Kama Sistaz na Ruthless Tyler Perry haipo hii orodha ni batili
Kwani hiyo orodha ni wanaume tu?Wakitoa List ya Series za wamama hizo zitawekwa
najua ni mitazamo ya wachapishaji wa habari ila haimaanishi n ivyo kwa wote 😁 naona MR INBETWEEN hamna hapo ko io list n batili 😎
Tyler Perry niche yake wanawake movies zake,series zote zinafanana humo series za watu ambao wanaweza kufikiria na sio Drama(adrenaline)..Kwani hiyo orodha ni wanaume tu?