MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 5,824
- 14,757
Kama Vikings na Blacklist haipo apo basi na logout
Tyler Perry niche yake wanawake movies zake,series zote zinafanana humo series za watu ambao wanaweza kufikiria na sio Drama(adrenaline)..
Hapa tunaongelea Game Of thrones, Breaking Bad,Band of Brothers,The Wire sio bongo movie type of series
Umesoma heading vizuri? Maneno mbona mengi na kujivunia haki ya mawazo bora?
Hizo Tv series
Sasa hizo Sistaz na Ruthless Tyler Perry nini!!!!?
Hebu nambie nijue
Prison Break is overrated. Huku kwetu tu ndio tunaifagilia. Ukifuatilia list yoyote ya best series haiko highly rated.Ili ujue hio orodha ni upumbafu hakuna Prison Break
Nakubaliana na wewe, actually wengi wanaamini BCS ni kali kuliko BB.Breaking Bad Yes but Better Call Saul ilipaswa nayo iwe Top 5
hii story ilikua kaliIf loving you is wrong haikuorodheshwa wanatumia takwimu gani
Ajabu hawa jamaa wameacha Prison Break, The SopranosTyler Perry niche yake wanawake movies zake,series zote zinafanana humo series za watu ambao wanaweza kufikiria na sio Drama(adrenaline)..
Hapa tunaongelea Game Of thrones, Breaking Bad,Band of Brothers,The Wire sio bongo movie type of series
Tatizo liko wapi akifanya hivyo?Kwa nini uchukue post za insta na utuletee humu
Prison break ya kawaida,Sopranos ingeweza kua hata number 2 au 3,haijawekwa sababu imetoka karne ya 20..sopranos imetoka mwaka 1999Ajabu hawa jamaa wameacha Prison Break, The Sopranos
Sahihi, mwnyw nimejiuliza hvy.Ili ujue hio orodha ni upumbafu hakuna Prison Break
Uliwahi kuangslia Homeland?Breaking Bad Namba Namba nyingine aisee
Prison Break ya kawaida halafu Squid Games iwe kali?? Yaani PB ina ratings 8.3/10 na Squid Game yenye 7.9 imekua kali of all times!Prison break ya kawaida,Sopranos ingeweza kua hata number 2 au 3,haijawekwa sababu imetoka karne ya 20..sopranos imetoka mwaka 1999