Wazee wa UCHAGANI, mkumbusheni Rais Samia mkoa wa Kilimanjaro unapaswa kuwa jiji

Fundi CEO

Senior Member
Joined
Nov 23, 2016
Posts
169
Reaction score
192
Wazee wa UCHAGANI, mkumbusheni Rais Samia. Mkoa wa Kilimanjaro unapaswa kuwa jiji.

Mkoa wa Kilimanjaro unapaswa kuwa jiji ili kuweza kule maendeleo Kwa mkoa na Taifa Kwa ujumla

Hi dhana Kwamba wachaga watakuja kuitawala TZ , ni mawazo ya kijamaa ambayo ni ujinga mtupu.

Huu ujinga umesababisha mkoa wa Kilimanjaro kudumaa kiuchumi. Hebu fikirieni mkoa wa Kilimanjaro ungekuwepo Kenya. Ungekuwa hivi ulivyo hapa TZ

Serikali ina Sera mbaya Sana, mbovu za maendeleo, utasema nchi haina wasomi waliobobea kwenye uchumi.
 
Wazee wa UCHAGANI ,mkumbusheni chief hangaya.
Mkoa wa Kilimanjaro unapaswa kuwa jiji.

Hi dhana Kwamba wachaga watakuja kuitawala TZ , ni mawazo ya kijamaa , ambayo ni ujinga mtupu

Hu ujinga umesababisha mkoa wa Kilimanjaro kudumaa kiuchumi.
Hebu fikirieni mkoa wa Kilimanjaro ungekuwepo Kenya. Ungekuwa hivi ulivyo hapa TZ

Serikali ina Sera mbaya Sana ,mbovu za maendeleo , utasema nchi haina wasomi waliobobea kwenye uchumi
Kipimo cha serikali ilikuwa awamu ya kwanza. Baada ya Nyerere ilipaswa iwe mwisho wa CCM.

Watanzania tulimkosea Mungu, ndiyo maana akaamua tupitie ukoloni wa CCM. Tukatubu.
 
Wazee wa UCHAGANI ,mkumbusheni chief hangaya.
Mkoa wa Kilimanjaro unapaswa kuwa jiji.

Mkoa wa Kilimanjaro unapaswa kuwa jiji ili kuweza kule maendeleo Kwa mkoa na Taifa Kwa ujumla

Hi dhana Kwamba wachaga watakuja kuitawala TZ , ni mawazo ya kijamaa , ambayo ni ujinga mtupu

Hu ujinga umesababisha mkoa wa Kilimanjaro kudumaa kiuchumi.
Hebu fikirieni mkoa wa Kilimanjaro ungekuwepo Kenya. Ungekuwa hivi ulivyo hapa TZ

Serikali ina Sera mbaya Sana ,mbovu za maendeleo , utasema nchi haina wasomi waliobobea kwenye uchumi
Lete vigezo vinavyokufanya useme kwamba manispaa ya Moshi inatakuwa kuwa jiji. Bila kuleta vigezo vyako huu uzi utakuwa useless.
 
Hakuna hadhi hiyo... Bora Zanzibar sio Kilimanjaro... au ulimaanisha Moshi?
 
Wenzako Njombe, Simiyu Mara nk wametulia wanakula maisha halafu wewe unachanganya karata zako hapa Kilimanjaro eti ipewe hadhi iwe jiji

Kuna vijiji havina umeme, maji, zahanati Wala barabara

Kilimanjaro kwa kiasi kikubwa kina kila kitu, mmependelewa kwenye keki ya taifa lakini malalamishi midomoni kwenu ni Kama mwiko ndani ya uji wa moto
 
Wazee wa UCHAGANI ,mkumbusheni chief hangaya.
Mkoa wa Kilimanjaro unapaswa kuwa jiji.

Mkoa wa Kilimanjaro unapaswa kuwa jiji ili kuweza kule maendeleo Kwa mkoa na Taifa Kwa ujumla

Hi dhana Kwamba wachaga watakuja kuitawala TZ , ni mawazo ya kijamaa , ambayo ni ujinga mtupu

Hu ujinga umesababisha mkoa wa Kilimanjaro kudumaa kiuchumi.
Hebu fikirieni mkoa wa Kilimanjaro ungekuwepo Kenya. Ungekuwa hivi ulivyo hapa TZ

Serikali ina Sera mbaya Sana ,mbovu za maendeleo , utasema nchi haina wasomi waliobobea kwenye uchumi

Eti jiji 😆 au ulimaanisha kuwa kijiji? Eti Maendeleo 😆 maendeleo yatoke wapi wakati ardhi mmezishikilia wenyewe kujenga hamujengi, watanzania wanahitaji viwanja hamtoi badala yake munauziana wenyewe kwa wenyewe co?? alafu munataka ipewe jiji, ivi mnajuwa mnachokiongea lakini?? Ebu eauzieni viwanja makabila mengine muone patavyopendeza na wawaletee maendeleo na co kulalamika na kulazimisha kisichowezekana bwana, angalau muwe sawa na khm.
 
Kamkoa kana vilabu vya pombe kibao 🤣🤣🤣lile jiji unaumwa na dengua we mtalalama sana kaangalie iringa
Iringa iko mbali sana ila vinyumba vya tofali za kuchoma waache kujenga sasa ni kama Mbeya tu pruuuu
 
Wazee wa UCHAGANI ,mkumbusheni chief hangaya.
Mkoa wa Kilimanjaro unapaswa kuwa jiji.

Mkoa wa Kilimanjaro unapaswa kuwa jiji ili kuweza kule maendeleo Kwa mkoa na Taifa Kwa ujumla

Hi dhana Kwamba wachaga watakuja kuitawala TZ , ni mawazo ya kijamaa , ambayo ni ujinga mtupu

Hu ujinga umesababisha mkoa wa Kilimanjaro kudumaa kiuchumi.
Hebu fikirieni mkoa wa Kilimanjaro ungekuwepo Kenya. Ungekuwa hivi ulivyo hapa TZ

Serikali ina Sera mbaya Sana ,mbovu za maendeleo , utasema nchi haina wasomi waliobobea kwenye uchumi
Mkoa unawezaje kuwa Jiji?
Pengine DSM peke yake.
Sema Moshi kuwa Jiji!
 
Nmemwwlewa mwandishi anasema Kilimanjaro imetengwa kimaendeleo.
Kumbukeni jimbo la Lissu baada ya kuingia mtu wa chama tawala lilikuwaje..au wale waliokuwa wanaunga juhudi na wakagombea majimbo yaleyale baada ya kupata walifanya nn majimboni.
Mpishi mkuu anaamua sahani ipi ajaze manyama nyama na ipi aweke mlenda na maharage.
 
Wazee wa UCHAGANI ,mkumbusheni chief hangaya.
Mkoa wa Kilimanjaro unapaswa kuwa jiji.

Mkoa wa Kilimanjaro unapaswa kuwa jiji ili kuweza kule maendeleo Kwa mkoa na Taifa Kwa ujumla
Mkoa mzima wa kilimanjaro uwe jiji? Unamaanisha nini bwashee?
 
Wazee wa UCHAGANI ,mkumbusheni chief hangaya.
Mkoa wa Kilimanjaro unapaswa kuwa jiji.

Mkoa wa Kilimanjaro unapaswa kuwa jiji ili kuweza kule maendeleo Kwa mkoa na Taifa Kwa ujumla

Hi dhana Kwamba wachaga watakuja kuitawala TZ , ni mawazo ya kijamaa , ambayo ni ujinga mtupu

Hu ujinga umesababisha mkoa wa Kilimanjaro kudumaa kiuchumi.
Hebu fikirieni mkoa wa Kilimanjaro ungekuwepo Kenya. Ungekuwa hivi ulivyo hapa TZ

Serikali ina Sera mbaya Sana ,mbovu za maendeleo , utasema nchi haina wasomi waliobobea kwenye uchumi
Mkoa huwa hauwu jiji,ni mji

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Wakazi wa Moshi ndio wamekataa kua na jiji. Watu wa Mbwa haruki, Uchira, Sango na maeneo mengine walikataa kutoa mashamba yao na kua viwanja na hivyo kuunyima mji wao vigezo vya ku quality kuundwa kwa Jiji la Moshi. Msisingizie Rais wala Serikali,. Jilaumuni wenyewe
 
Nmemwwlewa mwandishi anasema Kilimanjaro imetengwa kimaendeleo.
Kumbukeni jimbo la Lissu baada ya kuingia mtu wa chama tawala lilikuwaje..au wale waliokuwa wanaunga juhudi na wakagombea majimbo yaleyale baada ya kupata walifanya nn majimboni.
Mpishi mkuu anaamua sahani ipi ajaze manyama nyama na ipi aweke mlenda na maharage.
Serikali ya chama Cha Mapinduzi haibagui watanzania..ipo madarakani na inapeleka maendeleo kuanzia kwa akina Mbowe mpaka kwa akina Zito na Sugu..
 
Wazee wa UCHAGANI, mkumbusheni Rais Samia. Mkoa wa Kilimanjaro unapaswa kuwa jiji.

Mkoa wa Kilimanjaro unapaswa kuwa jiji ili kuweza kule maendeleo Kwa mkoa na Taifa Kwa ujumla

Hi dhana Kwamba wachaga watakuja kuitawala TZ , ni mawazo ya kijamaa ambayo ni ujinga mtupu.

Huu ujinga umesababisha mkoa wa Kilimanjaro kudumaa kiuchumi. Hebu fikirieni mkoa wa Kilimanjaro ungekuwepo Kenya. Ungekuwa hivi ulivyo hapa TZ

Serikali ina Sera mbaya Sana, mbovu za maendeleo, utasema nchi haina wasomi waliobobea kwenye uchumi.
Na Professor Issa Shivji

Kwani uchifu ni utamaduni wetu? Makabila mengi hawakuwa na wachifu. Waliwekwa na wakoloni kwa maslahi yao (km Wazanaki). Uchifu ulipigwa marufuku na sheria mnamo 1962. Machifu waliyokuwepo (km Adam Sapi, Fundikira, Kunambi nk) waliingizwa Serikalini katika nyadhifa mbalimbali.

Ufutaji wa uchifu ulitusaidia sana kujenga umoja wa kitaifa.Nchi zingine Za Afrika (kmNigeria, Ghana nk) wamepata shida kujenga umoja wa kitaifa. Sababu mojawapo ni machifu kulinda himaya zao kwa kukuuza ukabila badala ya utaifa. Tunachotakiwa kusisitiza ni utamaduni wa kitaifa.

FB_IMG_1642819534365.jpg
 
Lete vigezo vinavyokufanya useme kwamba manispaa ya Moshi inatakuwa kuwa jiji. Bila kuleta vigezo vyako huu uzi utakuwa useless.
Amesema mkoa mzima si Manispaa ya moshi. Huyu hajui hata anataka nini
 
Mkoa wa Kilimanjaro au Mji wa Moshi?! MACHADEMA mbona hamna akili kiasi hiki nyie?! Bumbafu sana.
 
Back
Top Bottom