Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,462
- 21,124
Inawezekana kujibu bila kutukana na ukaeleweka.Wewe ni chizi, unafananisha Moshi na Mbeya
Au pengine umetukana kwa kuwa huna hoja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana kujibu bila kutukana na ukaeleweka.Wewe ni chizi, unafananisha Moshi na Mbeya
Una hoja, ila ulipoharibu ni kuingiza viashiria vya ukabila. Kwanini utumie neno wazee wa uchagani ? Nani kakuambia kilimanjaro ni ya wachaga peke yao. Siku fichi ndugu zangu bado mna safari ndefu sana kwa tabia hizi za kibaguzi. Usijifanye ninyi ni special na bora kuliko wakazi wengine wa mkoa huo. What is special with Moshi/kilimanjaro ? Huo mkoa una tofauti gani kimuonekano na wilaya ya nyamagana?Wazee wa UCHAGANI, mkumbusheni Rais Samia. Mkoa wa Kilimanjaro unapaswa kuwa jiji.
Mkoa wa Kilimanjaro unapaswa kuwa jiji ili kuweza kule maendeleo Kwa mkoa na Taifa Kwa ujumla
Hi dhana Kwamba wachaga watakuja kuitawala TZ , ni mawazo ya kijamaa ambayo ni ujinga mtupu.
Huu ujinga umesababisha mkoa wa Kilimanjaro kudumaa kiuchumi. Hebu fikirieni mkoa wa Kilimanjaro ungekuwepo Kenya. Ungekuwa hivi ulivyo hapa TZ
Serikali ina Sera mbaya Sana, mbovu za maendeleo, utasema nchi haina wasomi waliobobea kwenye uchumi.
Wazee wa UCHAGANI, mkumbusheni Rais Samia. Mkoa wa Kilimanjaro unapaswa kuwa jiji.
Mkoa wa Kilimanjaro unapaswa kuwa jiji ili kuweza kule maendeleo Kwa mkoa na Taifa Kwa ujumla
Hi dhana Kwamba wachaga watakuja kuitawala TZ , ni mawazo ya kijamaa ambayo ni ujinga mtupu.
Huu ujinga umesababisha mkoa wa Kilimanjaro kudumaa kiuchumi. Hebu fikirieni mkoa wa Kilimanjaro ungekuwepo Kenya. Ungekuwa hivi ulivyo hapa TZ
Serikali ina Sera mbaya Sana, mbovu za maendeleo, utasema nchi haina wasomi waliobobea kwenye uchumi.
Kuwa jiji mana yake unamega zaidi ardhi ya kilimo na kuiongezea mji wa Moshi; wao waliiona athari ya hilo na walikataa na walikuwa sahihi. Ardhi ya kilimo inapaswa kulindwa sio kubadilishwa matumizi holela; ingekuwa sehemu zingine za mambumbumbu hilo lingepita lakini madiwani wao walikataaa ili kuwalinda wakulima wai wasipoteze ajira na kipato kwa kisingizio cha jiji.Wazee wa UCHAGANI, mkumbusheni Rais Samia. Mkoa wa Kilimanjaro unapaswa kuwa jiji.
Mkoa wa Kilimanjaro unapaswa kuwa jiji ili kuweza kule maendeleo Kwa mkoa na Taifa Kwa ujumla
Hi dhana Kwamba wachaga watakuja kuitawala TZ , ni mawazo ya kijamaa ambayo ni ujinga mtupu.
Huu ujinga umesababisha mkoa wa Kilimanjaro kudumaa kiuchumi. Hebu fikirieni mkoa wa Kilimanjaro ungekuwepo Kenya. Ungekuwa hivi ulivyo hapa TZ
Serikali ina Sera mbaya Sana, mbovu za maendeleo, utasema nchi haina wasomi waliobobea kwenye uchumi.
Acha bhangi weweMkoa wapili kwa utajiri ni KLM baada ya Dar...
Mazeri anapewa umangi Leo! Mangi Mangissa
Acha kufananisha Mbeya na vitu vya ajabu ajabu.Ipo wazi kisheria Kwa mujibu wa Sheria za Mamlaka za Serikali za Mitaa kwamba ili eneo la utawala litangazwe kuwa Jiji linatakiwa liwe na hadhi ya manispaa, eneo liwe ni makao makuu ya mkoa, liwe miundombinu ya kisasa kama huduma za afya, maji, mazingira, pia eneo lijitosheleze kimapato Kwa asilimia kubwa bila kutegemea sana Serikali kuu.
Vyote hivi Moshi imetimiza ila sijui kigugumizi kinatoka wapi wakati Tanga imetangazwa Jiji wakati kivigezo inazidiwa na Moshi. Hata Mbeya iko sawa na Moshi.
Ni kweli kabisa! Pale hamna biashara richa ya kelele hapa!Uko sahihi kila eneo makaburi hawataki kutoa maeneo hata ya kujenga stendi kubwa ya mabasi tu kila mtu kakomaa siuzi ardhi iwe kwa serikalia au mwekezaji au mchaga mwenzangu
Majiji yote ukiyaaangalia cha kwanza walichofanya in kuruhusu wenye pesa kununua ardhi toka popote kuindeleza mifano jiji LA Arusha,Dar es salaaam,Mwanza ,Mbeya,Kahama,Dodoma nk
Moshi wabahili na ardhi Lukuvi akiwa waziri wa Ardhi alijaribu kuwaelimisha kuwa toeni ardhi iendelezwe sio bure wakamtukana tena wazee wa kichaga wasomi wakamfokea kuwa hatutoi ardhi
Mji haupanuki kabisa kila MTU kashikilia ardhi haiendelezi wala kuwekeza yapo makaburi tu ambayo hataki hata yahame
Stendi kuu ya mabasi moshi mjini ni kama kituo cha daladala
Wachaga wazuri kuwekeza mikoa mingine sio kwao mapato ya Moshi mjini ni madogo mno hamna biashara za maana moshi mjini hata ukiangalia kwa macho tu unajua hamna biashara pale watu wanaganga njaa tu walale waamke asubuhi
Sasa huku uliko taja kuna nini watu wenyewe hawajitambuiWenzako Njombe, Simiyu Mara nk wametulia wanakula maisha halafu wewe unachanganya karata zako hapa Kilimanjaro eti ipewe hadhi iwe jiji
Kuna vijiji havina umeme, maji, zahanati Wala barabara
Kilimanjaro kwa kiasi kikubwa kina kila kitu, mmependelewa kwenye keki ya taifa lakini malalamishi midomoni kwenu ni Kama mwiko ndani ya uji wa moto
Inawezekana kujibu bila kutukana na ukaeleweka.
Au pengine umetukana kwa kuwa huna hoja
Wewe ni taahira watu wa Njombe,mara,simiyu hawajitambui? Kweli wewe ni mpumbavu! Wao Wakinga siwanatokea Njombe hapo kariakoo ndo wanatamba? Wakurya wajita wanatokea mara tena ni wafanya biashara wakubwa na wasomi na jeshini ni wengi tu,Simiyu hawa ni wasukuma wanyantuzu wafanya biashara wakubwa wa madini nchi hii! Kumbe tunabishana na mtu yuko majengo anaropoka!Sasa huku uliko taja kuna nini watu wenyewe hawajitambui
Sasa huku uliko taja kuna nini watu wenyewe hawajitambui
Ushirikina tu hakuna jipya, punguza jazbaWewe ni taahira watu wa Njombe,mara,simiyu hawajitambui? Kweli wewe ni mpumbavu! Wao wakinga siwanatokea Njombe hapo kariakoo ndo wanatamba? Wakurya wajita wanatokea mara tena ni wafanya biashara wakubwa wengi tu,Simiyu hawa ni wasukuma wanyantuzu wafanya biashara wakubwa wa madini nchi hii! Kumbe tunabishana na mtu yuko majengo anaropoka!
Ila kweli maendeleo hayaletwi na wazawa,Mara nyingi watu wa nje.Eti jiji [emoji38] au ulimaanisha kuwa kijiji? Eti Maendeleo [emoji38] maendeleo yatoke wapi wakati ardhi mmezishikilia wenyewe kujenga hamujengi, watanzania wanahitaji viwanja hamtoi badala yake munauziana wenyewe kwa wenyewe co?? alafu munataka ipewe jiji, ivi mnajuwa mnachokiongea lakini?? Ebu eauzieni viwanja makabila mengine muone patavyopendeza na wawaletee maendeleo na co kulalamika na kulazimisha kisichowezekana bwana, angalau muwe sawa na khm.
Wewe endelea kuropoka huwa mkikutana mnadanganyana sana na wachaga wenzako! Nenda hata kahama pale ukaone vijana walivo na mafanikio hawana mbwembwe na wachaga wenzako ni wakutafuta kwa tochi hapo kahama! Msiishi kwa mazoea vijana!Ushirikina tu hakuna jipya, punguza jazba
Hakika! Hata kama ni wajamii moja lakini lazima atokee eneo tofauti na hapo ndo anakuwa mwekezaji! Wazawa kazi yao huwa ni majungu!Ila kweli maendeleo hayaletwi na wazawa,Mara nyingi watu wa nje.
Aiseee umenifungua!Uko sahihi kila eneo makaburi hawataki kutoa maeneo hata ya kujenga stendi kubwa ya mabasi tu kila mtu kakomaa siuzi ardhi iwe kwa serikalia au mwekezaji au mchaga mwenzangu