Masamila
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 6,490
- 7,422
sasa kama mosh jiji je moro wasemaje
Ndio hapo sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa kama mosh jiji je moro wasemaje
Kama Tanga na Mbeya?Kamkoa kana vilabu vya pombe kibao 🤣🤣🤣lile jiji unaumwa na dengua we mtalalama sana kaangalie iringa
[emoji23][emoji23][emoji23]wachaga wenyewe huko twita wamekazana kudai uchagani hakuna chief Hilo lingine so kipaumbeleWazee wa UCHAGANI, mkumbusheni Rais Samia. Mkoa wa Kilimanjaro unapaswa kuwa jiji.
Mkoa wa Kilimanjaro unapaswa kuwa jiji ili kuweza kule maendeleo Kwa mkoa na Taifa Kwa ujumla
Hi dhana Kwamba wachaga watakuja kuitawala TZ , ni mawazo ya kijamaa ambayo ni ujinga mtupu.
Huu ujinga umesababisha mkoa wa Kilimanjaro kudumaa kiuchumi. Hebu fikirieni mkoa wa Kilimanjaro ungekuwepo Kenya. Ungekuwa hivi ulivyo hapa TZ
Serikali ina Sera mbaya Sana, mbovu za maendeleo, utasema nchi haina wasomi waliobobea kwenye uchumi.
Uko sahihi kila eneo makaburi hawataki kutoa maeneo hata ya kujenga stendi kubwa ya mabasi tu kila mtu kakomaa siuzi ardhi iwe kwa serikalia au mwekezaji au mchaga mwenzanguWakazi wa Moshi ndio wamekataa kua na jiji. Watu wa Mbwa haruki, Uchira, Sango na maeneo mengine walikataa kutoa mashamba yao na kua viwanja na hivyo kuunyima mji wao vigezo vya ku quality kuundwa kwa Jiji la Moshi. Msisingizie Rais wala Serikali,. Jilaumuni wenyewe
Tanga ni jiji, Mbeya ni jiji, Dodoma nalo ni jijiWazee wa UCHAGANI, mkumbusheni Rais Samia. Mkoa wa Kilimanjaro unapaswa kuwa jiji.
Mkoa wa Kilimanjaro unapaswa kuwa jiji ili kuweza kule maendeleo Kwa mkoa na Taifa Kwa ujumla
Hi dhana Kwamba wachaga watakuja kuitawala TZ , ni mawazo ya kijamaa ambayo ni ujinga mtupu.
Huu ujinga umesababisha mkoa wa Kilimanjaro kudumaa kiuchumi. Hebu fikirieni mkoa wa Kilimanjaro ungekuwepo Kenya. Ungekuwa hivi ulivyo hapa TZ
Serikali ina Sera mbaya Sana, mbovu za maendeleo, utasema nchi haina wasomi waliobobea kwenye uchumi.
Wakati mwingine uwe unasafiri uone nchi ujue miji ilivyo....Lete vigezo vinavyokufanya useme kwamba manispaa ya Moshi inatakuwa kuwa jiji. Bila kuleta vigezo vyako huu uzi utakuwa useless.
Hamna ushamba wa ukabila watu wanaweza kuwekeza ila sio KilimanjaroKama Tanga na Mbeya?
Uko sahihiUko sahihi kila eneo makaburi hawataki kutoa maeneo hata ya kujenga stendi kubwa ya mabasi tu kila mtu kakomaa siuzi ardhi iwe kwa serikalia au mwekezaji au mchaga mwenzangu
Majiji yote ukiyaaangalia cha kwanza walichofanya in kuruhusu wenye pesa kununua ardhi toka popote kuindeleza mifano jiji LA Arusha,Dar es salaaam,Mwanza ,Mbeya,Kahama,Dodoma nk
Moshi wabahili na ardhi Lukuvi akiwa waziri wa Ardhi alijaribu kuwaelimisha kuwa toeni ardhi iendelezwe sio bure wakamtukana tena wazee wa kichaga wasomi wakamfokea kuwa hatutoi ardhi
Mji haupanuki kabisa kila MTU kashikilia ardhi haiendelezi wala kuwekeza yapo makaburi tu ambayo hataki hata yahame
Stendi kuu ya mabasi moshi mjini ni kama kituo cha daladala
Wachaga wazuri kuwekeza mikoa mingine sio kwao mapato ya Moshi mjini ni madogo mno hamna biashara za maana moshi mjini hata ukiangalia kwa macho tu unajua hamna biashara pale watu wanaganga njaa tu walale waamke asubuhi
Vigezo vipo kisheria na siyo kisiasa.Lete vigezo vinavyokufanya useme kwamba manispaa ya Moshi inatakuwa kuwa jiji. Bila kuleta vigezo vyako huu uzi utakuwa useless.
Iringa iko mbali sana ila vinyumba vya tofali za kuchoma waache kujenga sasa ni kama Mbeya tu pruuuu
Mkoa wa Kilimanjaro au Mji wa Moshi?! MACHADEMA mbona hamna akili kiasi hiki nyie?! Bumbafu sana.
Ipo wazi kisheria Kwa mujibu wa Sheria za Mamlaka za Serikali za Mitaa kwamba ili eneo la utawala litangazwe kuwa Jiji linatakiwa liwe na hadhi ya manispaa, eneo liwe ni makao makuu ya mkoa, liwe miundombinu ya kisasa kama huduma za afya, maji, mazingira, pia eneo lijitosheleze kimapato Kwa asilimia kubwa bila kutegemea sana Serikali kuu.
Vyote hivi Moshi imetimiza ila sijui kigugumizi kinatoka wapi wakati Tanga imetangazwa Jiji wakati kivigezo inazidiwa na Moshi. Hata Mbeya iko sawa na Moshi.

Mara kumi Iringa town kuliko MoshiWazee wa UCHAGANI, mkumbusheni Rais Samia. Mkoa wa Kilimanjaro unapaswa kuwa jiji.