BuDDaH MBiSHi
JF-Expert Member
- Jan 14, 2021
- 540
- 587
Kikanuni kivipi?Ila ni aibu kwa bodi ya ligi kuihusisha serikali kwenye jambo ambalo kikanuni linatatulika, wafuate kanuni bila kujali chochote.
Sasa wanafanya kazi gani kama wataingiza siasa kwenye hili?
Kuna kanuni za zinazotoa miongozo kipi kifanyike endapo ikitokea hali kama iliyotokea.Kikanuni kivipi?
Hebu punguza hisia aseee... Kanuni ipi itumike kwa mchezo ulioahirishwa?Kuna kanuni za zinazotoa miongozo kipi kifanyike endapo ikitokea hali kama iliyotokea.
Usalama ni maswaka ya polisi.Kanuni ya 34:1(1.3) kwa sababu za kiusalama baada ya kupokea ripoti ya Afisa Usalama wa mechi na maofisa wa mchezo.
Kanuni namba ngapi ya bodi inawataka kusikiliza polisi kwenye kuahirisha mechi? Kanuni inasema wazi sababu ya dharura au yoyote ya msngi itakayokubaliwa na TFF.Maadam imekubaliwa na TFF jua Yanga watacheza mechi itakayopangwa au watapokonywa wao points 3Usalama ni maswaka ya polisi.
DOC Maswaka ni Maswala ya BAKITA... HahahahahUsalama ni maswaka ya polisi.
Kijambio kinakuwasha, unaangaika na typo ndogo kama hiyo?DOC Maswaka ni Maswala ya BAKITA... Hahahahah
Hii inaweza kuwa suluhu. Tofauti na hapo mambo magumu. Binafsi kama shabiki wa Yanga ile Tarehe 8 March nilikua na mzuka kweli wa kuona Debi. Ila kwa sasa hata kuisikia sitaki naona uhuni tu. Bora hata isichezwe.Bodi ya Ligi walipotakiwa kufuata kanuni march 8 walishindwa kufanya hivyo sasa hali ni ngumu zaidi kuliko mwanzo. Ili mazungumzo yaanze bodi ya ligi ijiuzulu kwa kufanya hivyo na mechi itachezwa
Unaandika kama umekatwa kichwa. Kilichowafanya Bodi wahairishe mchezo wa Machi 8 ndicho kinachowafanya wahofie hiyo tarehe mpya. Mnapenda kupetiwa petiwa.Kanuni namba ngapi ya bodi inawataka kusikiliza polisi kwenye kuahirisha mechi? Kanuni inasema wazi sababu ya dharura au yoyote ya msngi itakayokubaliwa na TFF.Maadam imekubaliwa na TFF jua Yanga watacheza mechi itakayopangwa au watapokonywa wao points 3
Wewe si mmoja wa wale wawili ndio maana badala ya kujibu hoja umekimbilia kuharisha kwenye post ya wenye akili.Joined February 2025 karibu kwenye jukwaa la wenye akiliUnaandika kama umekatwa kichwa. Kilichowafanya Bodi wahairishe mchezo wa Machi 8 ndicho kinachowafanya wahofie hiyo tarehe mpya. Mnapenda kupetiwa petiwa.
Hapo ndo utata hapo.Ilihairishwa kwa kanuni ipi na sababu gani?
Doc kama Doc.... DakitariiiKijambio kinakuwasha, unaangaika na typo ndogo kama hiyo?
wenye akili subirini pwenti tatu zenu toka kwa tii efu efuNakuambia mkuu humu Kuna mamburula sana haswa mashabiki wa yanga. Ni wapumbavu sijapata kuona..
Wewe kwanza umeinyima timu pinzani isifanye mazoezi siku Moja kabla ya mchezo, hii unatakiwa upigwe adhabu
Bado ukakiuka maagizo ya mabosi wako kua mechi hakuna na ukakaidi.ukapeleka timu uwanjani huku kukiwa hakuna marefa Wala officials yoyote halafu wanataka point tatu, Wana ukichaa? Hapa Bado Kuna adhabu yake ya kukaidi mamlaka
Simba mkononi Wana shahidi za kutosha kuanzia kuzuiwa kuingia uwanjani kufanya mazoezi, Hadi mechi kuahirishwa barua wanazo, mtu mpumbavu anasema Simba kagomea mechi, unagomeaje mechi iliyoahirishwa na mabosi..?
Ningeona Kuna watu wa yanga wenye akili zaidi ya wale wawili waliosemwa kua ndio pekee wenye akili Yanga nzima , kama wangeniambia Simba waadhibiwe kwa kutotoa taarifa ya kuja kufanya mazoezi na hio adhabu waiweke hapa kanuni inasemaje timu isipotoa taarifa kua inaenda kufanya mazoezi inafanywaje..[emoji23]
Na adhabu ya pili, kuandika barua ya kutotaka kwenda uwanjani kwa mechi ambayo imeahirishwa tayari..hio adhabu tuweke hapa kanuni zake zinasemaje kwamba ukiandika barua kua huji uwanjani kwa mechi iliyoahirishwa unafanywaje [emoji23][emoji23]
Yanga???nadhan ni mgen nchi hii au bado mtoto,refer sakata la Fei Fei kubwaMpira na serikali haviingiliani ukumbuke...Yanga akiamua kukaza hakuna wakumfanya chochote Ndio maana Mwenyekiti WA Bodi ya Ligi nanukuu alisema"Hatuwezi wazuia Yanga kufanya chochote ila ni muhimu itumike busara katika hili"
Ww Lilia utoto Tu, wakati mechi ulikimbia kwasababu za kitoto
Wewe unafikiri kazi ili iwe kaziv azima uamke saa 12 asubuhi kwenda kibaruani?Nimeshtushwa kuona kwenye hiyo press conference ya hao Wazee, nimewaona na Vijana wakiwa ndiyo wanapiga hizo kelele za kususia mechi.
Sasa Leo ni siku ya kazi, na ni majira ya saa 5 asubuhi
Sasa hao Vijana wanafanya kazi za kuwaingizia kipato saa ngapi kama muda wote wanadeal na mambo ya Simba na Yanga tu??
Hii Nchi kweli ngumu 🙌