Wazee wa Yanga Dar wagomea dabi kuchezwa tena baada ya kuota mbawa

Huyo Almas kasongo na wenzake haeajielewi. Wao watangaze tarehe ya mchezo timu itakayotokea uwanjani itapewa point 3 na magoli 3.
 
na mechi zilizobaki msicheze🀣🀣🀣
 
Wewe unafikiri kazi ili iwe kaziv azima uamke saa 12 asubuhi kwenda kibaruani?
Sio rahisi ukeshe Kazini usiku Kucha kisha asubuhi uende kwenye hayo makelele ya Simba na Yanga
 
Kanuni ya 34:1(1.3) kwa sababu za kiusalama baada ya kupokea ripoti ya Afisa Usalama wa mechi na maofisa wa mchezo.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Mna utahira uliyokubuhu!!, Yaani mnachukulia poa sana sababu za kiusalam?. Acheni utahira
 
Ila ni aibu kwa bodi ya ligi kuihusisha serikali kwenye jambo ambalo kikanuni linatatulika, wafuate kanuni bila kujali chochote.

Sasa wanafanya kazi gani kama wataingiza siasa kwenye hili?
Wafuate kanuni gani kwa sasa?
Ninyi wanayanga akili hamna hata kidogo.

Tayari walishashindwa kufuata kanuni kwa kutangaza kuiahirisha mechi sasa wafuate kanuni ipi?

Hamuwezi kupewa pointi bila kumkaba Kibu na Mpanzu!
Acheni woga
 
Naamini JK na Mzee Manara hawakuwa sehemu ya hawa wazee.
Unadhani utasikia nini mahali ambapo hawa wazee wawili hawapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…