njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Wazee wa busara wanawasha moto hatari, kuna kikao kipo underway hapo utopoloni wale wazee ambao juzi walisema hawatapeleka team uwanjani kucheza na simba hawataki kusikia lolote kuhusu mabadiliko ya uendeshaji wa team hiyo.
Binafsi nawaunga mkono sana, Yanga ni team ya wananchi inakuwaje iwekwe mikononi mwa GSM, safi sana wazee wenye busara tupo nyuma yenu kwanza nyie ndo mlipigania uhuru wa nchi hii nyerere kule Marekani umoja wa mataifa walikuwa wameshamnyima uhuru wa tanganyika alipotaja jina la team ya yanga afrika wazungu wote walitetemeka wakatoa uhuru wa nchi.
Inakuwaje GSM mkataba wa jezi anatoa 1300 ths wakati yeye anauza 35,000 tunataka mahesabu ya mauzo ya jezi, team ya wananchi ibaki mikononi mwetu wenyewe kama vipi tutaiendesha kwa michango mbona tushafanya kabla.
Wazeee wa busara oyeeeee