The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
GT
Sasa hali ni tete kila mtu atakula anakopeleka mbegu. GenZ wameamua kuwakomoa wazee wanaotia tia huruma huku wamesimama.
Kitendo cha kushangilia na kupiga makofi mbele ya Samia akijitamba kuua watanzania kimewaudhi sana GenZ. Ngoja tuone mpaka mwisho movie itakuwaje
Vijana hawataki kuskia habari za mila na desturi😂😂
Vijana siwalaumu hata kidogo kwa sababu najua kutoa ni moyo wala si utajiri.Vijana hawataki kuskia habari za mila na desturi😂😂
HUNA UWEZO WA KUSAIDI MTU YOYOTE YULE, UNATAFUTA FEDHA MUDA GANI WAKATI UNAKESH KWENY EMITANDAO KUTUKANA TU HATA WATU AMBAO HAWAKUHUSU.Kuna mzee wa kitaa huwa namsaidia hapa na pale ninapoweza.. Baada ya kunitaarifu kuwa alikwenda kwenye kikao sijui kongamano tena kwa furaha kabisaa...
Nimejiapiza bora afe njaaa au atembee uchi huku namuona siwezi kuendelea kusaidia taahira mimi...😏😏
MJINGA NI WEWE UNAEKESHA MITANDAONI KUTUKANA HAT AAMABO HUWAJUI .UJINGA ULIOPITILIZANilikasirika sana ila baadae nikajipoza nilipogundua hata wajinga hua wanazeeka
MJINGA NI WEWE UNAEKESHA MITANDAONI KUTUKANA HAT AAMABO HUWAJUI .UJINGA ULIOPITILIZA
HIVI NA WEWE NI KIJANA? KAMA NI KIJANA NA UNAYO MAWAZO YA AINA HII WEWE NI TATIZO KWENYE JAMIITatizo lipo kwa wazee wengi kutowaheshimu vijana.
NI WA KUONEA HURUMA KWA MAANA HATAENDELEA KUWA VIJANA MAISHA YAO YOTEVijana hawataki kuskia habari za mila na desturi😂😂
BABA YAKO AILIEKUZAA ANAYO HASARA KUBWA SAANAGT
Sasa hali ni tete kila mtu atakula anakopeleka mbegu. GenZ wameamua kuwakomoa wazee wanaotia tia huruma huku wamesimama.
Kitendo cha kushangilia na kupiga makofi mbele ya Samia akijitamba kuua watanzania kimewaudhi sana GenZ. Ngoja tuone mpaka mwisho movie itakuwaje
Kama uma miaka 30 wewe ni mtu mzima tayari, sio mzee lakini siyo kijana.Nilikasirika sana ila baadae nikajipoza nilipogundua hata wajinga hua wanazeeka
Mtu mjinga hua anatambulika kupitia matendo yake huna haja ya kutafuta historia yake kumjua ... Jinga lingine ni wewe unaye support ujinga wa kiongozi wako mjinga Kwa ajili ya bahasha yenye elfu iliyowekwa elfu 20MJINGA NI WEWE UNAEKESHA MITANDAONI KUTUKANA HAT AAMABO HUWAJUI .UJINGA ULIOPITILIZA
Wazee wengi ni hamnazo mifano ipo mingi kuna wazee hata kuwasha TV na kubadirisha channel hawajui ila ni wanajifanya wajuaji balaa.. simu hizi wazee hawajui kutumia hata namba kusevu mpaka aombe vijana wamsaidie kusevu... still mzee km huyo hawaheshimu vijana ifike hatua wazee wawaheshimu vijana wasiwadharauHIVI NA WEWE NI KIJANA? KAMA NI KIJANA NA UNAYO MAWAZO YA AINA HII WEWE NI TATIZO KWENYE JAMII
MtupeKuna mzee wa kitaa huwa namsaidia hapa na pale ninapoweza.. Baada ya kunitaarifu kuwa alikwenda kwenye kikao sijui kongamano tena kwa furaha kabisaa...
Nimejiapiza bora afe njaaa au atembee uchi huku namuona siwezi kuendelea kusaidia taahira mimi...😏😏