Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 3,014
- 7,343
Endelea kumsaidia tu pengine alijua kuna chochote kitu watapata hukoKuna mzee wa kitaa huwa namsaidia hapa na pale ninapoweza.. Baada ya kunitaarifu kuwa alikwenda kwenye kikao sijui kongamano tena kwa furaha kabisaa...
Nimejiapiza bora afe njaaa au atembee uchi huku namuona siwezi kuendelea kusaidia taahira mimi...[emoji57][emoji57]