PostGE2025 Wazee waanza kukosa seat kwenye daladala, GenZ hawana utani

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Endelea kumsaidia tu pengine alijua kuna chochote kitu watapata huko
 
Tarehe 9D wazee wabaki ndani, tukomboe nchi
 
HUNA UWEZO WA KUSAIDI MTU YOYOTE YULE, UNATAFUTA FEDHA MUDA GANI WAKATI UNAKESH KWENY EMITANDAO KUTUKANA TU HATA WATU AMBAO HAWAKUHUSU.
Fedha haitafutwi Gentleman...
 
Guys guys guys guys guys kazi iendeleee kazieni hapo hapo
 
Tarehe 9D ndiyo mwisho wao
 
Mama samia mungu akujaliye neema maana we ni rais mwema, cjaona ubaya wowote kwako japo kunawanao kutia doa sana sana hawa ma gen-z washezi.
 
Who are you
 
Shida ya hii nchi ni wazee.
1.Wametufikisha hapa kwa siasa zao za unafki
2.Wao ndo wameua viwanda na uchumi
3. Wao ndo wapiga kura kwa wingi

Wazee woote wapewe kesi ya UHAINI
 
Wazee wa Dar wapuuzwe na kutelekezwa kabisa, hawataki mabadiliko ya haki, muda wote kujadili Simba na Yanga huku wakisubiria kulelewa tu.
Yale majinga yameaibisha wazee wote, ni ya kukamata na kucharaza bakora mapumbavu yale. Sasa hivi jina la "wazee wa dar" lishakua fedhea ya kutumika kwenye memes
 
HIVI NA WEWE NI KIJANA? KAMA NI KIJANA NA UNAYO MAWAZO YA AINA HII WEWE NI TATIZO KWENYE JAMII
Nadhan ulikosea typing kipindi unatengeneza ID yako. Hiyo P ilitakiwa iwe M
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…