Yani unajadili jambo kubwa la kiuchumi kwa hoja nyepesi namna hiyo?Ruzuku ya Dola 14 mpaka 28 mmmmh, Sasa hii pesa Haina tofauti na pesa za tasaf maana ni pesa kiduchu mnoo. Kwa pesa ya madafu ni kati ya Tsh 26000 mpaka Tsh 64000 Sasa China ije iwe super power labda miaka 100000000; ijayo
So homeless people hapo Marekani ni wengi kuliko masikini wa bara la Afrika?Yani unajadili jambo kubwa la kiuchumi kwa hoja nyepesi namna hiyo?
Nenda kaangalie idadi ya homeless people huko marekani pamoja na maisha wanayoishi alafu urudi hapa!
Tatizo ni kuwa watu Wana comment Kwa mihemko bila kufanya tafiti ajiulize Kwa nn hata sreikali hushindwa kuongeza hata ongezeko la mishahara Zaid ya laki china homeless ni wengi sana kulingana na population yao hivo ni jambo la kuigwaYani unajadili jambo kubwa la kiuchumi kwa hoja nyepesi namna hiyo?
Nenda kaangalie idadi ya homeless people huko marekani pamoja na maisha wanayoishi alafu urudi hapa!
Masikini wa bara la Africa wanahusiana nini na u-superpower wa China?So homeless people hapo Marekani ni wengi kuliko masikini wa bara la Afrika?
USD 14 (TZS 35,000) kwa mwezi? Mbona hata TASAF inatoa ruzuku ya maana by far kwa wazee walio kwenye hali ngumu; Tz ni dunia ya ngapi kwani?Hivi hii nchi ipo dunia ya tatu au ya kwanza?!!!
Mbona mipango yao naona kama imenyooka hiviiiii....
Makomunisti wa kwa Mpalange sijui kama watakuelewa ndugu! China bado sana.Ruzuku ya Dola 14 mpaka 28 mmmmh, Sasa hii pesa Haina tofauti na pesa za tasaf maana ni pesa kiduchu mnoo. Kwa pesa ya madafu ni kati ya Tsh 26000 mpaka Tsh 64000 Sasa China ije iwe super power labda miaka 100000000; ijayo
Homeless wa kichina ndio wako jehanum kabisa!Yani unajadili jambo kubwa la kiuchumi kwa hoja nyepesi namna hiyo?
Nenda kaangalie idadi ya homeless people huko marekani pamoja na maisha wanayoishi alafu urudi hapa!