Wazee wameamua kuongea waziwazi sasa

Huwezi Kuongoza Nchi Iliyogawanyika Kwa Makundi, Kuongoza Nchi Ambayo Wananchi Wake Wana Maumivu Moyoni Ni Ngumu Sana Kuwaletea Maendeleo.

Tuponye Nchi Kwanza Tuiunganishe Nchi Kwanza, Tusiangalie Vyeo Pekee.

~SINDE WARIOBAView attachment 3420811
Maneno mazito sana haya. Kama wahusika wana muda wa kuwasikiliza Wazee kama hawa, nadhani walitakiwa kuchukua hatua stahiki.

Ni ukweli ulio wazi! huu ubabe unaofanywa na watawala wa kutisha watu, kuteka, kuua, kufunga, kulazimisha uchaguzi, kulazimisha ushindi kwa walioshindwa, kutunga sheria za kuwalinda, nk. dalili yake siyo nzuri kwa siku zijazo.
 
Hii mbona ya siku nyingi sana, we umeiweka hapa ili kiwe nini?? We ni mjinga sana.
Unaposema ".....siku nyingi sana," unamaanisha nini? Ni maneno yaliyosemwa wakati wa enzi za awamu ya kwanza, ya pili, ya tatu, ya nne, ya tano, au ya huyu mama?

Kama yalisemwa wakati wa utawala wa huyu mama, basi bado yanaishi.
 
Huwezi Kuongoza Nchi Iliyogawanyika Kwa Makundi, Kuongoza Nchi Ambayo Wananchi Wake Wana Maumivu Moyoni Ni Ngumu Sana Kuwaletea Maendeleo.

Tuponye Nchi Kwanza Tuiunganishe Nchi Kwanza, Tusiangalie Vyeo Pekee.

~SINDE WARIOBAView attachment 3420811
Hii ya kuangalia vyeo pekee ndiyo iliyosababisha Msoga na Bibi wawachezeshe karata 3 cheusi/chelundu wajumbe wa mkutano mkuu ccm ili mgombe urais awe bibi pekee bila kujali chochote....

Uzuri ni kwamba mwenyewe aliwahi kutueleza kwamba alipoambiwa atateuliwa kuwa makamu wa rais, alisema..."Hapana...,hapana ..,siwezi ,siwezi...,ikabidi kaka yangu, Mohammed Gharib Bilal afanye kazi ya kunishawishi kwamba nitaweza"...
Sasa sie tunataka atutajie ni nani aliyemwmbia kwamba anauweza hata urais ikiwa hata umakamu rais tu anajijua hawezi...
Huyu anayemlazimisha sana kwa sasa ana maslahi gani endapo bibi atapewa 5 tena?
 
Unaposema ".....siku nyingi sana," unamaanisha nini? Ni maneno yaliyosemwa wakati wa enzi za awamu ya kwanza, ya pili, ya tatu, ya nne, ya tano, au ya huyu mama?

Kama yalisemwa wakati wa utawala wa huyu mama, basi bado yanaishi.
We boya sijakuuliza wewe ,nyambafuuu!!
 
Huwezi Kuongoza Nchi Iliyogawanyika Kwa Makundi, Kuongoza Nchi Ambayo Wananchi Wake Wana Maumivu Moyoni Ni Ngumu Sana Kuwaletea Maendeleo.

Tuponye Nchi Kwanza Tuiunganishe Nchi Kwanza, Tusiangalie Vyeo Pekee.

~SINDE WARIOBAView attachment 3420811
Alivoongea tangia hawamu ya 5 munaipachika Leo. Samia ameikuta nchi Ina stroke miguuni hadi kifuani akaiponyo sasahivi imesimama na inakimbia hii,acheni propaganda na Udini.
 
Huwezi Kuongoza Nchi Iliyogawanyika Kwa Makundi, Kuongoza Nchi Ambayo Wananchi Wake Wana Maumivu Moyoni Ni Ngumu Sana Kuwaletea Maendeleo.

Tuponye Nchi Kwanza Tuiunganishe Nchi Kwanza, Tusiangalie Vyeo Pekee.

~SINDE WARIOBA
Truly living words!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…