Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 17,499
- 25,295
Chanzo cha taarifa ni kwamba samia hajachukua fomu ya kuomba ridhaa ndani ya chama chakeChanzo cha taarifa yako?
Chanzo cha taarifa ni kwamba samia hajachukua fomu ya kuomba ridhaa ndani ya chama chakeChanzo cha taarifa yako?
Akili haihusiani na pahala ulipozaliwatatizo lakuzaliwa vichakani akili na adabu zinabaki hukohuko na unaeza mpiga miti hata maza ako
Sina chama.Pambanieni chama chenu kilichotekwa ma kijikundi kidogo.
Kwa sasa ili uwe mbunge au diwani wa ccm lazima uwe chawa ili jina lako lirudi, maoni ya wanachama hayana maana tena kwa hayo mabadiliko ya katiba yenu. Badala ya sheria kulenga kujenga na kutibu tatizo, mabadiliko ya sheria mliyoyafanya yamelenga kukomoa baadhi ya watu tu.
Na ww kuongea sio kigezo cha kuonekana una hekima.Walisena nini na kilichotokea ni kipi? Ule ulikua mkutano au ilikua taarifa! Unaweza kusema ni lini CCM Kwa maana ya wanachama wake walitoa maoni kuhusu mabadiliko ya katiba yake na kwamba Ile ilikua ni hitimisho? Sometimes kukaa kimya ni kipimo Cha hekima
Nchi ikiparaganyika wazee wataubeba msalaba. Wazee ni hazina na hazina lazima ikufae siku ya dhiki.Huwezi Kuongoza Nchi Iliyogawanyika Kwa Makundi, Kuongoza Nchi Ambayo Wananchi Wake Wana Maumivu Moyoni Ni Ngumu Sana Kuwaletea Maendeleo.
Tuponye Nchi Kwanza Tuiunganishe Nchi Kwanza, Tusiangalie Vyeo Pekee.
~SINDE WARIOBAView attachment 3420811
Akiwa na baadhi inatosha. Hakuna ilipo elezwa ni lazima awe na zote, au umeaona wewe?Utampata wapi mtu mwenye sifa zote hizo ? Labda umuumbe mwenyewe.
We acha kutematema mate ovyo na hiyo mimba isiyo na baba!!Eeeeh weeee Dada mbona una hasira au umepewa talaka 3 kwa hiyo, gari ya zamani kwa sasa haitembei?
Weee Binti nisikudanganye kwa kweli, mimi ukiona natema mate saaaana ujue master Mpingo wangu umesimama.We acha kutematema mate ovyo na hiyo mimba isiyo na baba!!
We mchicha mwiba una uwezo wa kumgonga nani!!?Weee Binti nisikudanganye kwa kweli, mimi ukiona natema mate saaaana ujue master Mpingo wangu umesimama.
Mbona dada yako mkubwa hilo analijua wewe muulize tu shemeji, kwani wewe umesahau kipindi kile sebuleni nilivyokugonga bahati mbaya baada ya kukugonga na chupa ya Wine, au ulifikiri ni makamasi yale?