Wazee wameamua kuongea waziwazi sasa

Wazee wameamua kuongea waziwazi sasa

Hii ya kuangalia vyeo pekee ndiyo iliyosababisha Msoga na Bibi wawachezeshe karata 3 cheusi/chelundu wajumbe wa mkutano mkuu ccm ili mgombe urais awe bibi pekee bila kujali chochote....

Uzuri ni kwamba mwenyewe aliwahi kutueleza kwamba alipoambiwa atateuliwa kuwa makamu wa rais, alisema..."Hapana...,hapana ..,siwezi ,siwezi...,ikabidi kaka yangu, Mohammed Gharib Bilal afanye kazi ya kunishawishi kwamba nitaweza"...
Sasa sie tunataka atutajie ni nani aliyemwmbia kwamba anauweza hata urais ikiwa hata umakamu rais tu anajijua hawezi...
Huyu anayemlazimisha sana kwa sasa ana maslahi gani endapo bibi atapewa 5 tena?
Atampenyeza kijana wake akamate usukani 2030-2035
 
Siku zote mwanamke hanaga kiburi bila kuwa na mwanaume anayemuongoza mbele yake.
 
Huwezi Kuongoza Nchi Iliyogawanyika Kwa Makundi, Kuongoza Nchi Ambayo Wananchi Wake Wana Maumivu Moyoni Ni Ngumu Sana Kuwaletea Maendeleo.

Tuponye Nchi Kwanza Tuiunganishe Nchi Kwanza, Tusiangalie Vyeo Pekee.

~SINDE WARIOBAView attachment 3420811
Huyu mzee akili hana popote duniani kuna opposition kuna wanaokubali au kukataa hata kwenye kura

Huwezi kuwa na nchi ya wote wana mawazo mamoja

Mawaziri wakuu wengine wenzie wastaafu mbona wako vizuri hawabweki kama yeye

Yeye kutwa kubweka
 
Ukiwasikiliza wapiga ramli wa chadema khs ambacho kingetokea kwenye mkutano wa mtandaoni wa ccm na kilichotokea ni tofauti kabisa 😂
Walisena nini na kilichotokea ni kipi? Ule ulikua mkutano au ilikua taarifa! Unaweza kusema ni lini CCM Kwa maana ya wanachama wake walitoa maoni kuhusu mabadiliko ya katiba yake na kwamba Ile ilikua ni hitimisho? Sometimes kukaa kimya ni kipimo Cha hekima
 
Kama mtu huyo atakuwa na nia ya dhati ya kuitumikia nchi na watu wake; na kulinda maslahi ya nchi...

Mtu mwenye maono na Dira sahihi ya kuielekeza nchi...

kama mtu huyo anaamini katika uwezo wa waTanzania kujikwamua kwenye umaskini; kwa kuwawezesha na kuwaa fursa hizo, na kusimamia shughuli za maendeleo yao...

kama mtu huyo anaamini katika umoja wa waTanzania, na kufanya juhudi zote za kuuimarisha umoja huo...

kama mtu huyu anaamini katika haki ya kila mTanzania; kutoonea mtu au kundi la watu; na kuamini katika sheria zetu...

Kuna sababu zii za mtu huyu kutokuwa kiongozi wa nchi hii!

Matumizi ya neno "katili" siyo sahihi kwa kiongozi mwenye sifa nilizo onyesha hao juu.


Labda tuseme kiongozi asiyekubali ubabaishaji.
Utampata wapi mtu mwenye sifa zote hizo ? Labda umuumbe mwenyewe.
 
Ukiwasikiliza wapiga ramli wa chadema khs ambacho kingetokea kwenye mkutano wa mtandaoni wa ccm na kilichotokea ni tofauti kabisa 😂
Pambanieni chama chenu kilichotekwa ma kijikundi kidogo.
Kwa sasa ili uwe mbunge au diwani wa ccm lazima uwe chawa ili jina lako lirudi, maoni ya wanachama hayana maana tena kwa hayo mabadiliko ya katiba yenu. Badala ya sheria kulenga kujenga na kutibu tatizo, mabadiliko ya sheria mliyoyafanya yamelenga kukomoa baadhi ya watu tu.
 
Kauli ya huyu mzee ndio jawabu la hali iliyopo sasa nchini.Je, lile genge la Mafia litakua tayari kuachia ulaji?
 
Tanzania inatakiwa ipate raisi katili mara mia moja kumzidi Magufuli, atunyooshe akili zitukae sawasawa
Kwanza tatizo kubwa hawa wazee mitandao imewakuta wameshatoka madarakani basi wanahamu kila wiki wapostiwe hivi kwani hawawezi kutulia kama seeing kinda au sunaye hv uwazr mkuu ni yy tu amekalia hicho kiti yupo wapi bilal gharib makamo wa raisi kila siku anakuja na vimistari yy tu hv hana watoto huyu hìi nchi ameikuta mbona ataiwàcha tu akiulizwa kuponya nchi ni vp anababaika kwa hyo watu vifutwe vyama vyote ndio tuanze au vp mbona miaka yote lazma nchi igawanyike hiyo s ndo mawazo na maoni tofauti au tuunganishe mpka watu wote tz wawe ccm mbona uvivu wa kulea wajukuu ha a umuhimu huo anaojilisha
 
Back
Top Bottom