Hakika!Hapo sawa hii mambo domo krasia ni ushenzi unaleta kelele tu
Tulia kama unakunya we ng'ombe wa kilimo.We poyoyo a acha ujinga.
Mm mwaka huu sijisumbui endapo tuu see more........Huwezi Kuongoza Nchi Iliyogawanyika Kwa Makundi, Kuongoza Nchi Ambayo Wananchi Wake Wana Maumivu Moyoni Ni Ngumu Sana Kuwaletea Maendeleo.
Tuponye Nchi Kwanza Tuiunganishe Nchi Kwanza, Tusiangalie Vyeo Pekee.
~SINDE WARIOBAView attachment 3420811
Eeeeh weeee Dada mbona una hasira au umepewa talaka 3 kwa hiyo, gari ya zamani kwa sasa haitembei?Hii mbona ya siku nyingi sana, we umeiweka hapa ili kiwe nini?? We ni mjinga sana.
Hahaha Bavicha bana wanahangaika sana CCM wanacheka tu 😂Huwezi Kuongoza Nchi Iliyogawanyika Kwa Makundi, Kuongoza Nchi Ambayo Wananchi Wake Wana Maumivu Moyoni Ni Ngumu Sana Kuwaletea Maendeleo.
Tuponye Nchi Kwanza Tuiunganishe Nchi Kwanza, Tusiangalie Vyeo Pekee.
~SINDE WARIOBAView attachment 3420811
Hahahaaaaaa ng'ombe wanaobebwa kwenye fuso u mmoja wao...Nmetulia kama nakunya mie ng'ombe wa kilimo.
Baba yako wa kufikia unamuita boya?We boya sijakuuliza wewe ,nyambafuuu!!
Tatizo aliwaahidi waarabu wachukue rasilimali za Tanganyika, na yeye atawalinda, na atahakikisha anapoondoka mwaka 2030, atamkabidhi atakayewalinda. nao wakamwahidi watagharamia kampeni zake na atakayemkabidhi. ataondokaje na huku anajua kwenye bandari kuna kila aina ya ushenzi. Kadhalika kwenye mbuga za wanyama, hifadhi za misitu za TAIFA, kwenye viwanja vya ndege. na kile kikosi chake cha watekaji na wauaji, akitoka, yote yatakuwa wazi.. ndiyo maana hawezi kukubali kuachia.Tatizo pesa ya Wajomba ilishamwagwa sana mpaka anakosa namna ya kujichomoa.
hiyo mimba yako ukijfungua mtoto asipofanana na heche najinyongaUkiwasikiliza wapiga ramli wa chadema khs ambacho kingetokea kwenye mkutano wa mtandaoni wa ccm na kilichotokea ni tofauti kabisa 😂
Akawaeleza hao wa mzabahuni wasihubiri chuki, kwani chuki inaigawa Taifa. Kama kweli Warioba anataka Tanzania iwe moja aanze huko. Na ilibdi aanze zamani tu, si kusubiri mpaka mambo yamekwenda kombo.Tuponye Nchi Kwanza Tuiunganishe Nchi Kwanza, Tusiangalie Vyeo Pekee.📌🔨
Kikwete ni mtu mnafiki mkubwa, aliyejaa dhuluma. fikiria mpaka alidhulumu ushindi wa rafiki yake mkubwa, Lowasa ambaye alimfadhili kwa mengi. Chini ya Kikwete na sa100, CCM itanuka kwa wanadamu wote wema ndani na nje ya nchi.Naam!
Yeye ndio anamwambia akaze fuvu
Utapyamlo, haumezeki wala hauuziki. Tupa takataka hii katika dust bin.Tatizo aliwaahidi waarabu wachukue rasilimali za Tanganyika, na yeye atawalinda, na atahakikisha anapoondoka mwaka 2030, atamkabidhi atakayewalinda. nao wakamwahidi watagharamia kampeni zake na atakayemkabidhi. ataondokaje na huku anajua kwenye bandari kuna kila aina ya ushenzi. Kadhalika kwenye mbuga za wanyama, hifadhi za misitu za TAIFA, kwenye viwanja vya ndege. na kile kikosi chake cha watekaji na wauaji, akitoka, yote yatakuwa wazi.. ndiyo maana hawezi kukubali kuachia.
Unahangaika kweli kweli, sijui unalipwa buku ngapi.Kikwete ni mtu mnafiki mkubwa, aliyejaa dhuluma. fikiria mpaka alidhulumu ushindi wa rafiki yake mkubwa, Lowasa ambaye alimfadhili kwa mengi. Chini ya Kikwete na sa100, CCM itanuka kwa wanadamu wote wema ndani na nje ya nchi.
Stress za maisha znakusumbua..We boya sijakuuliza wewe ,nyambafuuu!!
Unaonaje akifanana na ww?hiyo mimba yako ukijfungua mtoto asipofanana na heche najinyonga
Ndio Maana Lissu haangalii vyeo, anasema hata ccm wakiendelea kwa miaka 2-3 ili wapate muda wa kuliponya Taifa kwa Reforms ni sawa tu.Huwezi Kuongoza Nchi Iliyogawanyika Kwa Makundi, Kuongoza Nchi Ambayo Wananchi Wake Wana Maumivu Moyoni Ni Ngumu Sana Kuwaletea Maendeleo.
Tuponye Nchi Kwanza Tuiunganishe Nchi Kwanza, Tusiangalie Vyeo Pekee.
~SINDE WARIOBAView attachment 3420811
tatizo lakuzaliwa vichakani akili na adabu zinabaki hukohuko na unaeza mpiga miti hata maza akoMpuuzi huyo, hakuna nchi iliyogawanyika, aache ujinga wake
Duuh mambo ya kunyoshana tena?Tanzania inatakiwa ipate raisi katili mara mia moja kumzidi Magufuli, atunyooshe akili zitukae sawasawa