Wazee wameamua kuongea waziwazi sasa

Sina chama.
 
Na ww kuongea sio kigezo cha kuonekana una hekima.
Mlichotarajia haijatokea Sasa mnaanza nongwa zngn
 
Yalisha semwa sana. Haya kusikilizwa. Mheshimiwa hatapoteza chochote kwa lolote baya litakalotokea kwa mwamuzi mabovu anayoyatoa sasa. Saa ikifika ni kupanda ndege kuelekea ujombani na kuachia timbwili lenu.
 
Hii kauli ya ccm oyeeeeee inayotoka kwa wana jumuiya ya wenye vitambi inawapumbaza sana viongozi wetu.....wanahisi wanakubalika kila sehemu kwahiyo wanashupaza shingo
 
Huwezi Kuongoza Nchi Iliyogawanyika Kwa Makundi, Kuongoza Nchi Ambayo Wananchi Wake Wana Maumivu Moyoni Ni Ngumu Sana Kuwaletea Maendeleo.

Tuponye Nchi Kwanza Tuiunganishe Nchi Kwanza, Tusiangalie Vyeo Pekee.

~SINDE WARIOBAView attachment 3420811
Nchi ikiparaganyika wazee wataubeba msalaba. Wazee ni hazina na hazina lazima ikufae siku ya dhiki.
 
We acha kutematema mate ovyo na hiyo mimba isiyo na baba!!
Weee Binti nisikudanganye kwa kweli, mimi ukiona natema mate saaaana ujue master Mpingo wangu umesimama.

Mbona dada yako mkubwa hilo analijua wewe muulize tu shemeji, kwani wewe umesahau kipindi kile sebuleni nilivyokugonga bahati mbaya baada ya kukugonga na chupa ya Wine, au ulifikiri ni makamasi yale?
 
We mchicha mwiba una uwezo wa kumgonga nani!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…