Wazee wenzangu 60 +

Ameshafikia Menopause unapata nini sasa akikubalia,au ana kibunda?
Mkuu hii dunia ina mambo mengi usiyoweza ku define kwa jibu la moja kwa moja lililokamilika, hasa linapokuja suala la wanawake.

Unamkumbuka Winnie Medekizela Mandela wa South Africa?

Wakati Mandela anatoka jela, alimkuta akiwa na umri gani?

Je unakumbuka ni 'saga' gani lililomfanya mzee Mandela aka give up?

Kama mtiririko wa kashifa hiyo unaukumbuka vizuri, basi mambo ya kina mama hayana majibu yenye kanuni sahihi.

Nimeshuhudia wanawake wenye umri huo wakiolewa ama kudai talaka.

Na mtu kukubali kuolewa si mpaka awe fit phisically?

Niishie hapo.
 
Mkuu gari bovu huvutwa na zima

Yaani unataka na Uzee huu niendelee kudate na Mzee mwenzangu wa miaka 60?

Hata hivyo Wazee tuna mbinu, hapa nina azina ya mbinu 1000+
Kila nikisoma comments zako taswira inayonijia kichwani huwa nakuona kama yule 'Mzee wa TikTok'...πŸ˜…
 
Hakika wewe ni matured.

Respect..!!πŸ‘
 
Shikamoo naitikia vizuuuri marhabaan....kimsingi namzungumzia mtu mzima mwenzangu 60+ ana mjukuu mkubwa kama wewe....Sina haja na vibinti a.k.a alfu mbili.....manake bado havijawiva.....vina harufu fedenge...πŸ™‚
🀐 sitii neno
 
Mkuu gari bovu huvutwa na zima

Yaani unataka na Uzee huu niendelee kudate na Mzee mwenzangu wa miaka 60?

Hata hivyo Wazee tuna mbinu, hapa nina azina ya mbinu 1000+
Mbinu moja iliyo kuu ni kuhonga pakubwa, mbinu hii sawa na kukandika uso kwa makeup ili kuficha makunyanzi.

Nikiwa kijana matured nilikula sana hela za marehemu babu yangu kumkuwadia kwa ufuska wake.

Utasikia kananiita kwa sauti ya kutetema... 'Sikia mjukuu wangu, kesho nenda 'lubhaga' kachukue yule nzagamba, peleka mnadani na ukitoka huko hela yote peleka kwa Mariam ila usimwambie bibi yako, umesikia? '...
Nilikuwa ni jukuu pendwa.
 
we mtongoze tu mbona mie natomgoza sana na ninawala sana tu
 
Huyo hata kama bado ana genye ila hana muda mrefu atafikia tamati na mwanaume atayemuoa lazima utataka kuchepuka ili kutimiza haja zako,sasa hapo kuna nini tena mkuu
 
Hahaha.................yule Mzee wa hovyo hawezi kuwa Mimi πŸ˜…
Mwandishi wa habari: Vipi mzee unaishi wapi ?

Babu wa tiktok (kwa kujiamini kabisa): naishi kwetu na sitohama , kama babako kajenga sasa wewe unajenga ya nini unataka zile nyumba waishi mashetani au? Saivi nakula bata .

πŸ‘†πŸ‘† zee la hovyo na kitambulisho kikubwa cha vijana wa daslama πŸ˜†
 
Unakupata bila kujua umekupataje kwa sababu wengi mliendekeza kula bata ukiwa unakula bata hutojua muda umesonga songa vipi .
 
Imenibidi nikaangalie tena picha za wenye miaka 60 hasa waafrika duh! Hebu mumrudie muumba kwa umri huo.

Sidhani kama kuna mzee wa hekima zama hizi
 

Attachments

  • Screenshot_20240911_123747_Opera.jpg
    1.1 MB · Views: 3
  • Screenshot_20240911_124007_Opera.jpg
    997.1 KB · Views: 3
Miaka 60 kama mtu unajitunza kwa kula vizuri na kufanya mazoezi ya mara kwa mara ya viungo.......mbona bado kabisa......miaka 60 ni mingi kama uliitumia miaka yote kufanya mambo yanayoangamiza mwili......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…