Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Mkuu hii dunia ina mambo mengi usiyoweza ku define kwa jibu la moja kwa moja lililokamilika, hasa linapokuja suala la wanawake.Ameshafikia Menopause unapata nini sasa akikubalia,au ana kibunda?
Unamkumbuka Winnie Medekizela Mandela wa South Africa?
Wakati Mandela anatoka jela, alimkuta akiwa na umri gani?
Je unakumbuka ni 'saga' gani lililomfanya mzee Mandela aka give up?
Kama mtiririko wa kashifa hiyo unaukumbuka vizuri, basi mambo ya kina mama hayana majibu yenye kanuni sahihi.
Nimeshuhudia wanawake wenye umri huo wakiolewa ama kudai talaka.
Na mtu kukubali kuolewa si mpaka awe fit phisically?
Niishie hapo.