REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,664
- 9,929
Ungezitupia hapa ingependeza zaidIla katambulisha ngoma mbili kwampigo, hii unayumba kafanya kwa Marco Chali pale MJ ile nyingine kafanya kwa Mr T alafu zote ni pini za maana...
kwanza ina ujumbe sisi wazee wa kitwanga ukirudu umelewa mama yoyo analalamika unamsikilizisha ile verse ya pili, mama yoyo anatulia mnabebana hao mpaka chumbani.Hii ngoma yake ya unayumba mimi nimeielewa sana..unaweza kuisikiliza popote na mtu yeyote
Poa mkuuUngezitupia hapa ingependeza zaid
Hahah umenikumbusha alitunga album nzima kwa ajili ya huyo manzi...Hajamuimba tena Sinta?
Ametuimbia mashabiki wake wa miaka ile ile... nyie new school kasikilizeni calabashTunakubaliana kila mtu ana haki ya kutoa maoni Yke eehh""!!? ......
basi bwana mimi nimezisikiliza " lakini Mhh" bado anafanya aina ile ile ya Music wa Miaka ya mwanzoni mwa 2000....Uandishi wake bado wala hana midondoko....ana safari kubwa mnooo ya kuweza kushinda soko la ushindani lilikuwapo sasa "".........