Wazee wenzangu, Juma Nature karudi

Wazee wenzangu, Juma Nature karudi

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
4,664
Reaction score
9,929
Wazee wengangu mhenga mwenzetu karudi sifa ya juma nature chorus zinazoimbika na kushikika sikia hii

Ukirudi nyumbani unayumba yumba kitu gani kimekusibu x2

Ukirudi gheto unayumba yumba kitu gani kimekusibux2

Naona unashindwa kusimama na mguu mmoja
Ulevi huo x2
 
Uwiiii naona km sifiki niendako,nikaziskize.
Sir kiroboto
 
QUOTE="Shark, post: 27306701, member: 21139"]Ungezitupia hapa ingependeza zaid[/QUOTE]
Sure
 
Hii ngoma yake ya unayumba mimi nimeielewa sana..unaweza kuisikiliza popote na mtu yeyote
 
Hii ngoma yake ya unayumba mimi nimeielewa sana..unaweza kuisikiliza popote na mtu yeyote
kwanza ina ujumbe sisi wazee wa kitwanga ukirudu umelewa mama yoyo analalamika unamsikilizisha ile verse ya pili, mama yoyo anatulia mnabebana hao mpaka chumbani.
 
muziki burudani au muziki biashara...?? amakinike kwenye hayo mambo mawili.......
maana wabana pua wapo moto sana..........kwenye game..
 
Tunakubaliana kila mtu ana haki ya kutoa maoni Yke eehh""!!? ......
basi bwana mimi nimezisikiliza " lakini Mhh" bado anafanya aina ile ile ya Music wa Miaka ya mwanzoni mwa 2000....Uandishi wake bado wala hana midondoko....ana safari kubwa mnooo ya kuweza kushinda soko la ushindani lilikuwapo sasa "".........
 
Ametuimbia mashabiki wake wa miaka ile ile... nyie new school kasikilizeni calabash
 
Back
Top Bottom