secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Shemeji anataka kunilipia mahari, naoa mwezi wa 10.
Bro hiyo sentensi ya mwisho usingeimalizia sasa hivi tungekuwa tunaongea mengineShemeji anataka kunilipia mahari, naoa mwezi wa 10.
Irudishe ya zamani mkuu...binafsi pia nmeshindwa kuitumia...nmeamua kurudi kwa App ya zamani kwa kupakua APK FILE...na ku installHii App ni shida sana hasa kwa sisi wazee wa vijijini.
Nimejuta kuipakua, sasa hivi naingilia chrome.
Wazee wa mjuni nasikia mnadunda nayo tu.
Maxence Melo fanya kanamna basi!
Mimi ndo naoa mkuu.Bro hiyo sentensi ya mwisho usingeimalizia sasa hivi tungekuwa tunaongea mengine
Ila nasikia hii mpya iko kwenye majaribio. Huenda itakuwa nzuri ikikaa sawa.Irudishe ya zamani mkuu...binafsi pia nmeshindwa kuitumia...nmeamua kurudi kwa App ya zamani kwa kupakua APK FILE...na ku install
Hii mpya ya JF bwashee.App ipi mkali?
Mkuu share name hiyo old version maana nimedownload apk imekuja hii latest au nisaidie linkIrudishe ya zamani mkuu...binafsi pia nmeshindwa kuitumia...nmeamua kurudi kwa App ya zamani kwa kupakua APK FILE...na ku install
Ikikaa sawa mtatujuza tutarudi..kwa sasa nyie endeleeni.Ila nasikia hii mpya iko kwenye majaribio. Huenda itakuwa nzuri ikikaa sawa.
Oooh sawa, sikujua kama kuna mpya , ni nzuri au niipotezee tu?Hii mpya ya JF bwashee.
😁Ikikaa sawa mtatujuza tutarudi..kwa sasa nyie endeleeni.
Binafsi naona si nzuri kama hii. Mimi hapa naingia kupitia chrome.Oooh sawa, sikujua kama kuna mpya , ni nzuri au niipotezee tu?
Nimeijaribu inaleta error Code 502 nimeingia kwa VPN ImekubaliHii App ni shida sana hasa kwa sisi wazee wa vijijini.
Nimejuta kuipakua, sasa hivi naingilia chrome.
Wazee wa mjuni nasikia mnadunda nayo tu.
Maxence Melo fanya kanamna basi!