Wazee wenzangu vipi huko? Ni Mimi pekee ndiye nashindwa kutumia hii app mpya?

Wazee wenzangu vipi huko? Ni Mimi pekee ndiye nashindwa kutumia hii app mpya?

Kuhusiana na mada, labda sielewi... kuna JF app???

Ila JF si unafungua na browser yeyote iwe chrome, edge, firefox, duckduckgo... nk?
 
unaonekana vibaya sana wewe, anyway... .Melo ana program ya kuwasaidia wazee kama nyie. Muda sio mrefu mtafikiwa
 
M natumia ya zamani iyo mpia bado haijawa na update Play store secretarybird
Uninstall ya zamani halafu install tena utaipata,ila changamoto huenda kwakuwa bado ipo kwenye majaribio

Kwa muonekano ipo poa, changamoto kwa upande wangu,nikitaka kureply meseji,sehemu ya kuandika inazibwa na keyboard ya simu

Hapa naishi na crome
 
tatizo unatumia simu ya infinix, tafuta simu kinanda yenye thamani ya viwanja 3 goba, hizo shida utaziepuka
 
Ku update chrome ndani ya simu za android kupitia google play store - fanya hivi

fungua Google Play Store app,
bofya picha ama icon ya profile yako,
chagua Manage apps & device,
tafuta Chrome kwenye listi ya Updates available,
bofya Update
 
Uninstall ya zamani halafu install tena utaipata,ila changamoto huenda kwakuwa bado ipo kwenye majaribio

Kwa muonekano ipo poa, changamoto kwa upande wangu,nikitaka kureply meseji,sehemu ya kuandika inazibwa na keyboard ya simu

Hapa naishi na crome
Ngoja nitumie hii ya zamani mpaka iyo mpia itakapo kuwn saw mkuu
 
Binafsi bado natumia old version, haraka zenu za ku update muone mapya yaliyomo ndo zinawaponza
 
Attachments

  • Screenshot_20260813-195415_One UI Home.jpg
    Screenshot_20260813-195415_One UI Home.jpg
    43.2 KB · Views: 9
Back
Top Bottom