App ipi mkali?
😂😂Nashindwa kueeeelewa! Kwan Kuna jf mbili wakuu?
Nihizunika sanaUpo nje ya mda bwashee
Tuna APP mpya ya JF
secretarybird unaweza kutuma screenshot ya APP mpya ili sisi wengine tusiotumia hizo tuone
Inatumia jina gani mbona me naona ndo ile ile tu👀Hii App ni shida sana hasa kwa sisi wazee wa vijijini.
Nimejuta kuipakua, sasa hivi naingilia chrome.
Wazee wa mjuni nasikia mnadunda nayo tu.
Maxence Melo fanya kanamna basi!
Mimi naingia kama kawaida, lakini nimeona bora nitaumia hii ya zamani.Nimeijaribu inaleta error Code 502 nimeingia kwa VPN Imekubali
Hicho kitu hata mimi nimeona ni tatizo.Tatizo lingine ukitaka kureply keyboard inafunika space ya kuandika. Unatype huku huoni unachotype🚮🚮👎
Futa ya zamani halafu pakua upya. Haina update play store.M natumia ya zamani iyo mpia bado haijawa na update Play store secretarybird
Futa hiyo halafu download upya mkuu.Inatumia jina gani mbona me naona ndo ile ile tu👀
Ya kwenye app huwa ni nzuri, lakini hili toleo jipya kwangu ni pasua kichwa.JF mpango mzima kwenye browser tu,JamiiForums ya kwenye app ilinishinda miaka mingi huko nyuma ni mda sana sijui hata inafananaje kwa sasa!
SwauwaFuta hiyo halafu download upya mkuu.
Hebu ingia PM uangalie jinsi maandishi yalivyo 😁😂🤣😅. Hii app bhana!Mwenyewe ameipamba sana, lakini mimi bado sijaona uzuri wake ukilinganisha na edition ya nyuma yake!