Wazee wenzangu vipi huko? Ni Mimi pekee ndiye nashindwa kutumia hii app mpya?

JF mpango mzima kwenye browser tu,JamiiForums ya kwenye app ilinishinda miaka mingi huko nyuma ni mda sana sijui hata inafananaje kwa sasa!
Ya kwenye app huwa ni nzuri, lakini hili toleo jipya kwangu ni pasua kichwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…