Wazee wetu waliishi miaka mingi sana sababu walioa wake wengi

Wazee wetu waliishi miaka mingi sana sababu walioa wake wengi

Showmax

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2022
Posts
6,592
Reaction score
12,707
Ukifanya utafiti chanzo cha vifo vya mapema vya wanaume wengi ni stress za ndoa.

Mwanamke mmoja ukiishi nae anakuzoea anakuona sawa na mtoto mwenzake.

Majukumu ya nyumba wanaachiwa wadada wa Kazi, hata ukizeeka Wana ungana na watoto kuwa kitu kimoja baada ya kuwalisha sumu, hawatambui mchango wako ulivyo jinyima Ili wao wale wasome.

Zamani wazee walijua siri akikuzingua bi Mkubwa walikuwa awatoi talaka kimya kimya anaenda kwa bi mdogo huko napo akivurugwa uenda kwa Mdogo zaidi akivurugwa huko urudi kwa Mkubwa ambae anakuwa amemmiss mme wake KWA mzunguko huo huo.

Hii iliwasaidia Sana wasife mapema na maradhi ya moyo, au kuuana kisa mapenzi. Thus walifika hadi miaka 100 kwa amani afya tele.

Ni mzigo mzito Sana kuubeba mzigo wa malezi mabovu ya mwenzako wako.

Mzazi anamlea binti vibaya madhara anaenda pata atakaeishi nae kifuatacho ni stress, umasikini, stroke, kisukari, kupooza nk.

Men die too young
 
Wanaume wa sasa baadhi yenu unakuta kabinti kamoja tu tena ka chuo kanafanya mtu atake kujiua, kutwa kulia lia humu na ukute kuna visenti aligharamia ndiyo wanadata, hao wanne si ndiyo mtachanganyikiwa kabisa na hivi mpo wachache mno siku hizi, heeeh' tutabaki na nani..!!?
 
Hawakuwa na mambo mengi kama kizazi hiki,Chukulia tu mfano Maisha ya AFISA UBASHIRI anavyoteswa na muhindi.Huku AFISA USAFIRISHAJI anasakamwa na Lema kuambiwa kazi yake ni Laana.Kule wavulana wana left group.Mara Zimbwe hajaitwa timu ya Taifa,Feisal kaitwa.
 
Afisa ubashiri ni kwenye betting au ha ha ha
 
Maisha unayoyaongelea mtoa mada yalimkost babu yangu.Hiki kitu ni simple kukiongea ila manufaa utayapata uzeeni. Ikiwa utapendelea hivyo hakikisha unakaa na hao wanawake nyumba moja,hao wanawake wanaheshimiana na wanakuheshimu.Uwe na muda na watoto wako wote upande wa malezi.

Lasivyo utaachana na mmoja wao au wote wawili,hao watoto watalelewa kiholela na mwisho wa siku watakuja kukutukana wewe mwenyewe.
 
Mbona Mwinjilisti Reinhard Bonnke aliishi na kufa akiwa na miaka 79 akiwa na mke mmoja?
Billy Graham ameishi zaidi ya miaka 80 akiwa na mke mmoja.
Nilichokuja kugundua ni kwamba Hawa walimshirikisha Mungu kwenye suala la ndoa ndo maana wakapata wenzi sahihi.
 
Screenshot_20230218-140021.png
 
Ukifanya utafiti chanzo cha vifo vya mapema vya wanaume wengi ni stress za ndoa.

Mwanamke mmoja ukiishi nae anakuzoea anakuona sawa na mtoto mwenzake.

Men die too young
Hujazuiwa, tatizo liko wapi?
 
Lete data wastani wa umri wa kuishi kwa waliokuwa na mke moja dhidi ya waliokuwa na wake wengi zamani hizo. Usidili na wazee wachache tu unaowajua wewe
 
Back
Top Bottom