Wazijua siri za Vatican?

Kabla hata ya kuzijua hizo siri msikiti na kanisa ni drama tu ,ukitumia akili yako vizuri.
 
Acha kuongea kama umekatwa kichwa mkuu, uislamu hauna siri wala sisi hatuna maandiko yanayolindwa kuliko benki, Qur'an iko wazi na imejitosheleza hata watoto wa chekechea wanaisoma.

Na hatujuti wala hatutojuta kamwe kuwa waislamu, bali tunashukuru mno usiku na mchana kwa neema hii kubwa isiyolingana na neema yeyote.

Na mwisho utambue sisi tumekuwa waislamu na tuna uhakika asilimia trillion juu ya kile tulichopo juu yake, hatuna mashaka wala wasiwasi wala hatuna maneno ya ajabu kama "bora umuamini halafu usimkute kuliko usimuamini halafu ukamkuta" hayo ni maneno ya watu wapumbavu wasiojua nafasi yao wala thamani yao.


ุงู„ู„ู‘ู‡ู… ู„ูƒ ุงู„ุญู…ุฏ ูƒู…ุง ูŠู†ุจุบูŠ ู„ุฌู„ุงู„ ูˆ ุฌู‡ูƒ ูˆ ุนุธูŠู… ุณู„ุทุงู†ูƒ
 
Muache.Hutaki atuelezee alichonacho hiyo siku moja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ