Wazijua siri za Vatican?

Wazijua siri za Vatican?

Wanachumba chini ya ardhi kilichohifadhi nyaraka kadhaa hasa vitabu 80...vilivyo ondolewa kwenye Bible original.

Kamwe hawaruhusu mtu chini ya miaka 75 kusoma nyaraka hizo..Tena lazima uaminike sana.

Wengi wanaosoma nyaraka hizo hupata dimensia.

Pia ni wazi Mariam Magdalena alikuwa ni mke wa Yesu ndiye anayeonekana kwenye ile picha ya the last supper.
Naona unajitekenya halafu unacheka mwenyewe
 
Eti anayajua mengi kuhusu vatican siku nikipata muda nitatoa somo humu, yeye ameyajulia wapi? jamaa anataka kujifanya investigator fulani wa viwango vya scotland yard, kumbe anashindia mahindi ya kuchoma tu kama kina sie.
Hivi yake mahindi ya kuchoma huwa wanapaka pilipili na "chuuuuvi"?
 
Hapana niliambiwa na Mtu kutokea Ufaransa
Baba mkubwa wangu marehem aliwahi niambia kitu cha ajabu kidogo!!

Eti wale mapadri weusi wanaoenda kusomea vatcan hatua ya mwisho kabisa hutakiwa kuliwa tigo,wakikataa tu unaambiwa huna wito,yaani unarudishwa nyumbani kwake huku africa na kuonekana umeshindwa kabisa wito!!

Nilimshangaa sana akaniambia eti kuna mlatin mmoja aliwahi mwambia Hii kitu!!

Kipindi cha papa benedict wa 16 zilivuma sana habari za ushoga KWA mapadri na makasisi hao watawa kwenye vyombo vya HABARI Duniani NDIO nikaanza kuamini yawezekana ni kweli!!
 
Wanachumba chini ya ardhi kilichohifadhi nyaraka kadhaa hasa vitabu 80...vilivyo ondolewa kwenye Bible original.

Kamwe hawaruhusu mtu chini ya miaka 75 kusoma nyaraka hizo..Tena lazima uaminike sana.

Wengi wanaosoma nyaraka hizo hupata dimensia.

Pia ni wazi Mariam Magdalena alikuwa ni mke wa Yesu ndiye anayeonekana kwenye ile picha ya the last supper.
Hivi kwanini waganga wa jadi zaidi ya asilimia 90 kama siyo wote ni Waisilamu, naomba ufafanuzi Kuna uhusiano gani kati ya uganga wa jadi na dini ya kiisilamu
 
Wanachumba chini ya ardhi kilichohifadhi nyaraka kadhaa hasa vitabu 80...vilivyo ondolewa kwenye Bible original.

Kamwe hawaruhusu mtu chini ya miaka 75 kusoma nyaraka hizo..Tena lazima uaminike sana.

Wengi wanaosoma nyaraka hizo hupata dimensia.

Pia ni wazi Mariam Magdalena alikuwa ni mke wa Yesu ndiye anayeonekana kwenye ile picha ya the last supper.
Watu wa Kawaida wanadhani ni Muhimu Mwanaume Kuoa au kuwa na Mwanamke!

Highly Evolved persons hawana Sababu kabisa ya kuhusiana ns Mwanamke!

Spiritual life at highest level is best practiced without involving a woman in his life!

Jesus is a Pure Being descended with Full AWARENESS!

Kulikuwa hakuna haja ya ku cover chochote tena kidogo kama hicho!

Kutunza nyaraka ni utamaduni wa Kanisa!

Yako makala mengi au Machapisho mengi ambayo ukisoma ukiwa na uwezo mdogo unaishia kupata taabu kutokana na kushindwa kutafsiri au kuhifadhi!
 
Wakuu,mwenye kitabu kinachoitwa: "IN GOD's NAME" by David Yallop awasiliane nami.Niko tayari kukinunua hata kwa bei ya juu kidogo ya bei zaidi ya bei ya kawaida.
 
Ukiitafakari Biblia vizuri utagundua Mary Magdalena alikuwa mshikaji wa Yesu. Kwa kuwa alikuwa na umumgu na ubinadamu, basi katika ubinadamu alitulizwa na Magdalena.

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom