Wazijua siri za Vatican?

Wazijua siri za Vatican?

Yote yaliyoandikwa kwenye viabu vya biblia siyo matukio ya kweli bali ni visasili yaani inafundisha kwa mifano ya matukio na picha. yesu hajawahi kuwepo duniani.
 
Wanachumba chini ya ardhi kilichohifadhi nyaraka kadhaa hasa vitabu 80...vilivyo ondolewa kwenye Bible original.

Kamwe hawaruhusu mtu chini ya miaka 75 kusoma nyaraka hizo..Tena lazima uaminike sana.

Wengi wanaosoma nyaraka hizo hupata dimensia.

Pia ni wazi Mariam Magdalena alikuwa ni mke wa Yesu ndiye anayeonekana kwenye ile picha ya the last supper.
Umeyajuaje hayo mkuu?
 
Wanachumba chini ya ardhi kilichohifadhi nyaraka kadhaa hasa vitabu 80...vilivyo ondolewa kwenye Bible original.

Kamwe hawaruhusu mtu chini ya miaka 75 kusoma nyaraka hizo..Tena lazima uaminike sana.

Wengi wanaosoma nyaraka hizo hupata dimensia.

Pia ni wazi Mariam Magdalena alikuwa ni mke wa Yesu ndiye anayeonekana kwenye ile picha ya the last supper.
Wewe umefika miaka 75, Kama hujafika umejuaje Maria Magdalena alikuwa mke wa Yesu.
 
Baba mkubwa wangu marehem aliwahi niambia kitu cha ajabu kidogo!!

Eti wale mapadri weusi wanaoenda kusomea vatcan hatua ya mwisho kabisa hutakiwa kuliwa tigo,wakikataa tu unaambiwa huna wito,yaani unarudishwa nyumbani kwake huku africa na kuonekana umeshindwa kabisa wito!!

Nilimshangaa sana akaniambia eti kuna mlatin mmoja aliwahi mwambia Hii kitu!!

Kipindi cha papa benedict wa 16 zilivuma sana habari za ushoga KWA mapadri na makasisi hao watawa kwenye vyombo vya HABARI Duniani NDIO nikaanza kuamini yawezekana ni kweli!!
Ni kweli na hufanyiwa hivyo Ikiwa kam Tambiko na Mchezo mwingne ambao hata Wao huwa hawajui ni kwamba kipindi wanafanyiwa hivyo huwa wanarekodiwa,

Ili siku ikitokea unataka kuvujisha siri za Mipango/siri za Vatican basi hatua ya kwanz ni kukuletea video zako ukifanyiwa hivyo na wanakutishia watazivujisha Na hiyo ni Hatua ya kwanz tu ukionesha msimamo ukaivuka hiyo Kinachofata ni KIFO.

Kiufupi wale viongozi wa juu wa Vatican wote ni Wachawi wa Kiwango cha juu na Pili ni Shirika kubwa la kijasusi ambalo linacontrol Dunia katika Nyanja za Elimu,Uchumi, Siasa na DINI.
 
Wewe umejuaje?
Kuna Fr.mmoja Dr. Alishakuwa mkuu wa chuo fulani alibahatika kutujuza haya....bahati mbaya akawa alcoholic addict akapatiwa matibabu Uganda kwa siri..hatimae wakamfungia Tosamaganga...mpaka umauti ulipompata...ndiye aliyetujuza haya.
 
Nayajua Mengi san kuhusu Vatican Siku nikiwa na Muda mzuri nitatoa somo humu, na sitosema nimejuaje ila Vatican Imeficha vitabu vikubwa Zaidi ya 11,

ambavyo kam vikijulikana basi Waafrica Hawatotaman hata Kumuona Mtu mweupe na Waafrica hawatotaman hat kusikia tena neno Msikiti au kanisa,

Yule Papa anajua kila kitu Pamoja na viongozi wengne Wa ngazi ya Daraja la Kwanza Wanaujua Ukweli wote

NB: Hakuna Ikulu au Benki yoyote inayolindwa kuliko Chumba cha Siri cha Vatican Kilindwachwo 24/7 na watu wasiojua hata wanachokilinda ni kitu gani.
Wanaolinda hawajui wanachokilinda huko ndani ila wewe umejua kinacholindwa ni vitabu zaidi ya 11? What a lie😂
 
Acha kuongea kama umekatwa kichwa mkuu, uislamu hauna siri wala sisi hatuna maandiko yanayolindwa kuliko benki, Qur'an iko wazi na imejitosheleza hata watoto wa chekechea wanaisoma.

Na hatujuti wala hatutojuta kamwe kuwa waislamu, bali tunashukuru mno usiku na mchana kwa neema hii kubwa isiyolingana na neema yeyote.

Na mwisho utambue sisi tumekuwa waislamu na tuna uhakika asilimia trillion juu ya kile tulichopo juu yake, hatuna mashaka wala wasiwasi wala hatuna maneno ya ajabu kama "bora umuamini halafu usimkute kuliko usimuamini halafu ukamkuta" hayo ni maneno ya watu wapumbavu wasiojua nafasi yao wala thamani yao.


اللّهم لك الحمد كما ينبغي لجلال و جهك و عظيم سلطانك
Brain washed
 
Back
Top Bottom