Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 4,486
- 8,098
satanic message!
take care readers!!!!!!
YESU NI BWANA&MWOKOZI
take care readers!!!!!!
YESU NI BWANA&MWOKOZI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acheni kuconclude vitu ambavyo havina ushahidi katika biblia au katika historia iliyoandikwa na ushahidiUkiitafakari Biblia vizuri utagundua Mary Magdalena alikuwa mshikaji wa Yesu. Kwa kuwa alikuwa na umumgu na ubinadamu, basi katika ubinadamu alitulizwa na Magdalena.
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Umeyajuaje hayo mkuu?Wanachumba chini ya ardhi kilichohifadhi nyaraka kadhaa hasa vitabu 80...vilivyo ondolewa kwenye Bible original.
Kamwe hawaruhusu mtu chini ya miaka 75 kusoma nyaraka hizo..Tena lazima uaminike sana.
Wengi wanaosoma nyaraka hizo hupata dimensia.
Pia ni wazi Mariam Magdalena alikuwa ni mke wa Yesu ndiye anayeonekana kwenye ile picha ya the last supper.
Wala sina habari ya kumfahami wala kumjua E G White.Ni tapeli tu.Fafanua Ellen G white alitokea wapi? Eleza kiundani acha kuleta habari za juu juu hapa..toa na citations and references tutakuelewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe umefika miaka 75, Kama hujafika umejuaje Maria Magdalena alikuwa mke wa Yesu.Wanachumba chini ya ardhi kilichohifadhi nyaraka kadhaa hasa vitabu 80...vilivyo ondolewa kwenye Bible original.
Kamwe hawaruhusu mtu chini ya miaka 75 kusoma nyaraka hizo..Tena lazima uaminike sana.
Wengi wanaosoma nyaraka hizo hupata dimensia.
Pia ni wazi Mariam Magdalena alikuwa ni mke wa Yesu ndiye anayeonekana kwenye ile picha ya the last supper.
na ana aminika sana.Ametiza miaka 75
🙏Umeongea Fact sana Well done
Basi kwa maneno yako naona huna hoja ya msingi hupaswi kusikilizwa humu...Wala sina habari ya kumfahami wala kumjua E G White.Ni tapeli tu.
Ni kweli na hufanyiwa hivyo Ikiwa kam Tambiko na Mchezo mwingne ambao hata Wao huwa hawajui ni kwamba kipindi wanafanyiwa hivyo huwa wanarekodiwa,Baba mkubwa wangu marehem aliwahi niambia kitu cha ajabu kidogo!!
Eti wale mapadri weusi wanaoenda kusomea vatcan hatua ya mwisho kabisa hutakiwa kuliwa tigo,wakikataa tu unaambiwa huna wito,yaani unarudishwa nyumbani kwake huku africa na kuonekana umeshindwa kabisa wito!!
Nilimshangaa sana akaniambia eti kuna mlatin mmoja aliwahi mwambia Hii kitu!!
Kipindi cha papa benedict wa 16 zilivuma sana habari za ushoga KWA mapadri na makasisi hao watawa kwenye vyombo vya HABARI Duniani NDIO nikaanza kuamini yawezekana ni kweli!!
Tatizo sio kuambiwa na Mtu ila Ni Unaangalia na Mtu gani anakwambia hivyo na yupo katika Nafasi Gani. Mi sijaambiwa na Mtu wa kawaida,Kuambiwa na mtu ndo kunakufanya uwe na uhakika asilimia 100?
😁 Kumbe daimenshia nikadhani daimensheniKwann dimensia na hiyo dimensia ni Nini kwani?
Tena kwenye chumba chini ya ardhi!!!Yaani mtu upo namtumbo huku ila ya Vatican unayajua???🤣🤣
Unamuwakilisha nani bwana Manyasi?Hii ni JF ambayo hatukariri Ufunuo tu.Basi kwa maneno yako naona huna hoja ya msingi hupaswi kusikilizwa humu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna Fr.mmoja Dr. Alishakuwa mkuu wa chuo fulani alibahatika kutujuza haya....bahati mbaya akawa alcoholic addict akapatiwa matibabu Uganda kwa siri..hatimae wakamfungia Tosamaganga...mpaka umauti ulipompata...ndiye aliyetujuza haya.Wewe umejuaje?
Wanaolinda hawajui wanachokilinda huko ndani ila wewe umejua kinacholindwa ni vitabu zaidi ya 11? What a lie😂Nayajua Mengi san kuhusu Vatican Siku nikiwa na Muda mzuri nitatoa somo humu, na sitosema nimejuaje ila Vatican Imeficha vitabu vikubwa Zaidi ya 11,
ambavyo kam vikijulikana basi Waafrica Hawatotaman hata Kumuona Mtu mweupe na Waafrica hawatotaman hat kusikia tena neno Msikiti au kanisa,
Yule Papa anajua kila kitu Pamoja na viongozi wengne Wa ngazi ya Daraja la Kwanza Wanaujua Ukweli wote
NB: Hakuna Ikulu au Benki yoyote inayolindwa kuliko Chumba cha Siri cha Vatican Kilindwachwo 24/7 na watu wasiojua hata wanachokilinda ni kitu gani.
Brain washedAcha kuongea kama umekatwa kichwa mkuu, uislamu hauna siri wala sisi hatuna maandiko yanayolindwa kuliko benki, Qur'an iko wazi na imejitosheleza hata watoto wa chekechea wanaisoma.
Na hatujuti wala hatutojuta kamwe kuwa waislamu, bali tunashukuru mno usiku na mchana kwa neema hii kubwa isiyolingana na neema yeyote.
Na mwisho utambue sisi tumekuwa waislamu na tuna uhakika asilimia trillion juu ya kile tulichopo juu yake, hatuna mashaka wala wasiwasi wala hatuna maneno ya ajabu kama "bora umuamini halafu usimkute kuliko usimuamini halafu ukamkuta" hayo ni maneno ya watu wapumbavu wasiojua nafasi yao wala thamani yao.
اللّهم لك الحمد كما ينبغي لجلال و جهك و عظيم سلطانك
Sio kila mtu ana 0.04.5 IQ mkuu.Brain washed