Ngiama makanda
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 1,552
- 2,741
Jitahidi kuitambua dunia kwa uwezo wako uliojaaliwa na sio kukaririshwaSio kila mtu ana 0.04.5 IQ mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jitahidi kuitambua dunia kwa uwezo wako uliojaaliwa na sio kukaririshwaSio kila mtu ana 0.04.5 IQ mkuu.
Sasa hadi wewe umejua kuna siri tena? Ngozi nyeusi tunaaminishana upumbavu sana.Siri zipi tena zaidi ya kutawala dunia nyuma ya pazia?
AshaRoseMarry Magdalene.
Duuuhh
Pamoja na mavita yote ya dunia bado watu walishindwa kukisogelea hicho chumba? 1914-18 na 1939-44Nayajua Mengi san kuhusu Vatican Siku nikiwa na Muda mzuri nitatoa somo humu, na sitosema nimejuaje ila Vatican Imeficha vitabu vikubwa Zaidi ya 11,
ambavyo kam vikijulikana basi Waafrica Hawatotaman hata Kumuona Mtu mweupe na Waafrica hawatotaman hat kusikia tena neno Msikiti au kanisa,
Yule Papa anajua kila kitu Pamoja na viongozi wengne Wa ngazi ya Daraja la Kwanza Wanaujua Ukweli wote
NB: Hakuna Ikulu au Benki yoyote inayolindwa kuliko Chumba cha Siri cha Vatican Kilindwachwo 24/7 na watu wasiojua hata wanachokilinda ni kitu gani.
Uyo mzee aliyekwambia itakuwa mliwa tigo kaa mbali nae,Baba mkubwa wangu marehem aliwahi niambia kitu cha ajabu kidogo!!
Eti wale mapadri weusi wanaoenda kusomea vatcan hatua ya mwisho kabisa hutakiwa kuliwa tigo,wakikataa tu unaambiwa huna wito,yaani unarudishwa nyumbani kwake huku africa na kuonekana umeshindwa kabisa wito!!
Nilimshangaa sana akaniambia eti kuna mlatin mmoja aliwahi mwambia Hii kitu!!
Kipindi cha papa benedict wa 16 zilivuma sana habari za ushoga KWA mapadri na makasisi hao watawa kwenye vyombo vya HABARI Duniani NDIO nikaanza kuamini yawezekana ni kweli!!
Wapo wapi makao yao matawi je? Habari bila ushahidi ni umbeaMfumo unaotawala Duniani Hawa ndio uipeleka Duniani watakavyo Leo watakuja na wimbo wa ugaidi, corona,ushoga nk
Na Dunia nzima inaenda huko.
Wazee wa suti nyeusi,
kama hukuthibitisha basi yawezekana ni uongo au alikuwa mgonjwaKuna Fr.mmoja Dr. Alishakuwa mkuu wa chuo fulani alibahatika kutujuza haya....bahati mbaya akawa alcoholic addict akapatiwa matibabu Uganda kwa siri..hatimae wakamfungia Tosamaganga...mpaka umauti ulipompata...ndiye aliyetujuza haya.
Tena amejuaje bila kupata dimensia !Wewe umejuaje?
Umesema siri hizo ni kwa wenye miaka 75+, mimi sina. We toa hizo data nia yako si kutujuza yaliyofichwaMkuu nina uthibitisho mwingi mno.
Kwa kuanzia kama wewe ni msomaji tafuta kitabu...Banco Ambrosiano....
Halafu rudi nikupe data ambazo macho yatakuwasha.
Ngoja atuelezeTena amejuaje bila kupata dimensia !
Hahaha,atakua ana miaka 75 ,anaminiwa sana ,akapewa hiyo siriWewe umejuaje?
Walikosea sana kumpa siri mtu huyuHahaha,atakua ana miaka 75 ,anaminiwa sana ,akapewa hiyo siri